Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri
Hujajibu swali la mleta mada uko OP
WEWE UNAWASHANGAA WANAUME UNAWASHANGAA MASHOGA
 
Mkuu acha basi kujitungia swali kwenye mtihani.. mimi nilieuliza ndio najua nachokitaka..
Muelewe kiranga anachokisema Kina mantik ila mnajikuta amuelewi anachokimaanisha Kwa sababu mnataka mlete maana zenu
 
Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri
Hahahaaaaa, yani umeongea kana kwamba huwa unawaona wanavyowabenua..

Nimependa komenti yako.
 
Wewe ngumbaru hujui kwamba si wanawake wote ni wakina mama.

Pia, hujui tofauti ya swala na suala.

Hapa ukiharibu utapigwa tu, hamna jinsi.

Kwa sababu umeleta mada JF hujapeleka Umoja wa Wanawake.
Nimecheka kishenzi mwanangu..
 
Mwanaume hutakiwi kuwa muoga kiasi hicho...

By the way, ulichukua namba yake unipatie au unatuletea chai? Nilienda Bangkok kwa ajili ya watu wa aina hiyo, ili kwenda 'kuwatalii'.
 
Kwa nini unafikiri wanawake wana msimamo mmoja?

Kwani wanawake wote wanafikiri sawa?
Kilugha swali halijaonyesha umoja hapo kwa maana ya wanawake wawe na jibu moja. Swali liko wazi tena limeweka wazi wanawake waonyeshe msimamo wao, aidha wa kuunga mkono au kuwa dhidi. Mtoa mada ameuliza swali sahihi kwa kuzingatia maana na mjengeko wa swali.

Majibu ya swali hili lazima yamili katika upande mmoja, aidha wa kuunga mkono au kukataa, sababu watakuwepo wengi wenye kuunga mkono na watakuwepo kadhaa wasio unga mkono, lakini pande zote mbili zinakuwa na jibu moja, yaani msimamo.
 
Mtoa mada umeuliza swali zuri sana. Hakuna mwanamke mwenye kujielewa atakaye unga mkono suala la ushoga. Kwanini ?

Sababu, mwanamke ndiyo jukumu lake kulea, mashujaa walitengenezwa na wanawake, wanachuoni wakubwa kadhalika. Sisi wababa kazi yetu ni usimamizi na kurekebisha kutokana na jukumu letu la kutafuta ugali na kuwaletea.

Wanawake hawatakiwi kuwa wabinafsi na kuona kisa jambo si la wanao wahusu basi waone sawa, inabidi wavae viatu.

Kingine Allah awalaani wote wanatenda matendo ya sodoma na Gomora. Kadhalika awalaani Wanaume wote wenye kujifananisha na Wanawake na awalaani Wanawake wote wenye kujifananisha na Wanaume.
 
Na hawa mashoga ndo wanaopelekea dada zetu watoe tigo ili washindane nao.

Lakin hv mabasha wanapenda nini kwa mashoga wakati kwa mwanamke unapata two in one(tigo na voda)
 
Hapana, msimamo wa wanawake wengi si sawa na msimamo wa wanawake.

Heading imeandikwa "msimamo wa wanawake", si "msimamo wa wanawake wengi".

Stop the collectivization of thoughts.
Kiranga matata
 
Ukiangalia kwenye harakati za kutetea mapenzi ya jinsia moja wanawake wanakuaga wengi jaribu hata kucheki maandamano yao huko mamtoni unakuta wanawake ni wengi zaidi.
 
Wanaume wanafiki sana

Anayeomba mahusiano kinyume na maumbile ni nani? Iwe anaomba kwa ke au me?

Mwanamke hana interest na shoga hafanyi nae chochote
Sanasana tunakerwa wanavyozidisha tabia za kike
 
Good point! Nchi za magharibi hasa Marekani na Ulaya wana sheria nyingi sana zinazowapa nguvu wanawake na mashoga kwa kigezo cha kupinga mfumo dume.
Wanaume huku hawana sauti kabisa.

Wamekua kama mbwa koko na matokeo yake wameaumia kugeuzana kinyume na maumbile.

Ni kawaida sana kukuta dume zima na ndevu zake linamwita mwanaume mwenzake Husband.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…