Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Achana na sisi na utamaduni wako wa kiarabu, Tutaendelea kukujoa tumesimama.
Unaudharau utamaduni wa Kiarabu> Tuambie ni nini maana ya ustaarabu halafu kubali kuwa wewe si mstaarabu.

Hapo sasa, tazama chenga atakayojipiga.
 
Ufanye hivyo Ili ugundue nini?Ili uwe kama Bakheresa,au Dangote?ina tija gani?au ndio maagizo ya Allah!
Kupoteza muda tu,badala ya kuwaza mambo makubwa ya uchumi,unawaza mambo ya kijinga kabisa
 
Nna pombe zangu kichwani, nasogea kichakani, nasusha nguo magotini, nachuchumaa asilani...

Nikifika tamati, nakusanya udongo na majani ya miti, nipakaze wangu uchi, ili uwe msafi.
 
We kojoa kwa kuchuchumaa, ila mimi kidume nasimama.
Unaonekana wewe ni binti, wanaume huwa hatuandiki hivi. Kujisifia ukidume hali ya kuwa ni kidume ni kutokujiamini kama ilivyo kuweka wazi jambo ambalo liko wazi.
 
Mwanaume kukojoa amechuchumaa![emoji54]nilifikiri nimeshasikia Kila kitu
 
Poa.
 
Mwanaume kuchuchumaa , mhh
 
πŸ˜‚πŸ˜… mbona haya mambo ni ya kishoga kabisa, mwanaume na hayo mambo wapi wapi...?!?! Astaghfirullah
 
Yule jamaa aliyewaambia dunia iko flat aliwaharibu sana hawa jamaa.
 
Point hapa ni usafi, kama unaweza kusimama na kuacha pa kukalia pasafi au upasafishe ukimaliza sawa. Wanaume kawaida wanasimama na wanawake wanakaa.
 
Nyie wenzetu sijui mkoje, na ile ya kujiingiza kidole cha kati hadi mwisho wakati wa kutawaza baada ya haja namba 2 imekaaje?
 
Ujue navutia picha ati nawahai toi then nachuchumaa ku_susu.

Hahahah hai ingii kichwani kaaaabisa yan πŸ€¬πŸ€¬πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…