Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

HUJAWAHI kufuga PAKA wewe, mimi kama mwanaume sitakuja ufanyia kazi hu ushauri wa mleta UZI, akae nao mwenyewe aise, nikojoe nimechuchuma? Khaa, uchuro kabisa hu. Mungu apishie mbali kabisa, yaani mwanaume nichuchumae? Zipu ya suruali ya kazi gani sasa!? Halafu siamini hao wanao chuchumaa wananizidi USAFI
 
Maada zingine upuuzi mtupu. Tuna mgogoro wa mafuta FFS
Haa ha ha; kabisa aise; upotezaji wa muda tu. Imagine wengine tumeanza kuzeeka halafu leo tunafundishwa namna ya kukojoa....! What a mess is this! Watu wamekwenda Uarabuni huko, wana copy kutoka huko halafu wanatuletea sisi watoto wa kwa Mtogole, kweli?
 
Yaani dume zima nivue suruali na boxer nichuchumae kisa kukojoa?

Au kwani anazungumzia mkojo upi?
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chizi wee, kwan yeye kasema mkojo gan?
 
SWADAKTA UBARIKIWE SANA.
 
Ukitaka kujua kwamba kukojoa huku umesimama na bira kuosha zakari,ngoja basi lisimame halafu watu wakachimbe dawa wakisharudi utaona halafu inayotawala ndani.Tofauti wangekojoa huku wamechuchuma na wakaosha zakari isingekuwepo halufu
 
Wee ndo unaleta mada ya ushoga, mwenzako kazungumzia usafi, c umpinge kwa hoja khaaaj.
Usafi ndio uchuchumae? Tufanye uko maporini uchuchumae ili ujojoe, kijiti kikiingia kwenye kinyeo utafurahi au utasikitika?
 
Usafi ndio uchuchumae? Tufanye uko maporini uchuchumae ili ujojoe, kijiti kikiingia kwenye kinyeo utafurahi au utasikitika?
Kwa hiyo ukiwa porini unakunyaga huku umesimama ili vijiti visikuchome
 
Usafi ndio uchuchumae? Tufanye uko maporini uchuchumae ili ujojoe, kijiti kikiingia kwenye kinyeo utafurahi au utasikitika?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] babuuuh bhana una nn wee?
 
Sio mbaya kupokea mabadiliko, Ila uwashauri na mafundi nguo nao waanze kutushonea magauni, kwani kwa wanawake ni rahisi kuchuchumaa kutokana na mavazi Yao ambavyo mengi ni sketi au gauni kiasi kwamba wanafunua na kuchuchumaa. Sasa wanaume wanavaa suruali yenye zipu watatekelezaje hilo sharti gumu!!?
 
Udhu,mkojo ni nahisi,Kama swala tano huwezi kojoa wima
 
Utawadha jiwe kavu
 
We utakuwa na tatizo mahali
 
Waislam wengi hufanya hivo,Kuna sheikh mmoja shuleni kwetu alitusieitiza Sana hili Miaka hiyo
Hiyo safi hata wanawake wengi wa Islam nyuchi zao safi sana hazina hafuru ila mbunye za wanawake wa upande wa pili akikojoa anapandisha chupi anasepa akikuvulia utafkiri gari la taka za feri limepaki chumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…