Mkatoliki ganiUnapotekwa unakuwa umefanya makosa, labda ya uchochezi. Wakati mwingine inakuwa ni sababu za kibiashara au ugomvi wa kimapenzi, kumbuka Chadema ilikuwa na tabia ya kuteka wanasiasa wa chama hicho hicho kimoja, unaweza kuisingizia serikali kwamba inahusika na utekaji kwenye mazingira ya aina hiyo?.
Tume ipo kazini muda huu itakuja na majibu kamili kuhusiana na chanzo haswa cha maandamano kilikuwa ni nini.
Huna uwezo wa kufanya shughuli ya TISS ingawa sikufahamu, tabia ni zile zile za kibongo kudhani anafahamu kila kitu kwa sababu anao uwezo wa kutoa maoni yake kupitia simu yake ya Iphone.
Mimi muumini wa kanisa katoliki, analoliongoza na kuingiza siasa za kivyama bila ya kujua wengine hatuamini kile anachokiamini.
Mdogo wangu asingeweza kutoka nje katika mazingira ya tarehe 29 October mkuu wa polisi aliposema mwisho kutembea ni saa 12 maana yake zaidi ya hapo ukikutwa huko barabarani unapigwa risasi, mazingira ya kivita yalikwisha kuingia nchini.
Samia ni rais wa JMT tena halali baada ya kushinda uchaguzi ambao nyinyi mliamua kuususia mkadhani kwamba mpo peke yenu mlisahau kwamba kulikuwa na vyama 16 vilivyoweka wagombea hakuna muda wa kubembeleza wale wapuuzi wa 'no reform' nchi inakwenda bila ya uwepo wao.
Kutekwa kupo dunia nzima mkuu, nenda katazame ICE wanavyowakamata raia ambao hawana uhalali wa kuishi Marekani halafu njoo ulinganishe na namna watu wanavyotekwa hapa Tanzania.
Wewe uwe mtii wa sheria ukijifanya kondoo kichwa ngumu utakutana na vichwa ngumu wengi tu watakushughulikia kwa mujibu wa sheria hizo hizo unazohoji juu ya uwepo wake.
Kukamatwa wakati mwingine unakuunganisha na kutekwa, nimekupata sababu kadhaa za kwanini watu wanatekwa, ni uharamia upo dunia nzima huwezi kusema kwamba kila kutekwa kunahusiana na serikali moja kwa moja.Sheria gani inaruhusu kuteka [Abduction] sababu ya hayo makosa.
Mwanasiasa yupi alitekwa na CHADEMA hebu mtaje hapa .
Polepole nae ni mwanasiasa alitekwa na CHADEMA?
Tume???
Tume ya kitu gani na inachunguza chanzo cha maandamano kutokea wapi?
Unajuaje sina uwezo , hao TISS ni viumbe kutoka sayari ya Mars??
Hizo tabia za "kibongo" ni zipi??
Sijakuuliza wewe ni muumini wa wapi, na imani yako haina msaada hapa.
Mimi namuongelea Kitima kama mtanzania anayekemea utekaji na mauaji simuongelei katika uwanja wa ukasisi.
Kitima kama victim wa matukio hayo anayo haki ya kuyapazia sauti, alinusurika kuuwawa mwezi May na hadi leo waliomfanyia hayo matukio hawajafikishwa katika vyombo vyovyote vya kisheria.
Neno mdogo wako limetumika kama mfano , tu unaweza kuwa na ndugu yoyote au rafiki aliyeshambuliwa katika maandamano kama hukupatwa na janga hilo haimanishi hakuna waliouwawa katika maandamano.
Wewe una uhakika waliopigwa risasi wote ni waliotoka majumbani kwao zaidi ya saa 12?
Sheikh Sharif Majini na Master Tindwa walipigwa risasi majumbani kwao hili hukusikia au umeamua kufanya cherry picking?
Kwangu simtambui kama rais sababu hakuchaguliwa, halafu ukisemea "nyinyi mlisusia" sijui unalenga kitu gani ?
Vyama 16 ?? Hivyo vyama au washirika wa CCM?
Sihitaji kutazama video za ICE , nimekuuliza hapa nijibu ni wapi sheria za kitanzania zinasema kuteka mtu aliye na makosa.
Kwahiyo dunia nzima wanateka watu wanaosema Angela Kizigha ni fisadi, dunia nzima wanateka wanaosema Abdul ni mwizi.
Kwahiyo dunia nzima mwenyekiti wa chama kinachogombea ana mamlaka ya kuteua tume inayoenda kusimamia uchaguzi anaoshiriki ilhali kuna uwepo wa mgongano wa kimaslahi?
Kwahiyo dunia nzima matokeo ya urais yamezuiliwa kuhojiwa mahakamani?
Kwahiyo kama wewe jirani yako ameamua kutokula ilhali chakula kipo na wewe ni lazima usile sababu yeye hajala?
Sheria zipi unazozungumzia sizitii?
Na umetumia mawanda yapi kujua mimi sifuati sheria??
Nimekupa mifano miwili ya Heche na Buyo be waliokamtwa na polisi je polisi ndio waliovunja sheria au hao wahusika.
Wameshikiliwa zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani wala kuambiwa nini wamekamatiwa.
Hawakupewa nafasi ya kupata wakili wala watu wao wa karibu kujulishwa wanashikiliwa wapi.
Hawakupewa dhamana kwa mujibu wa sheria.
Kuna matusi high grade lakini si lofa. Lofa is same class nan mtu akikuita mpumbavHapana lofa ni tusi kubwa sana
Msenge mama yako aliyekwenda leba akatanua miguu ukazaliwa wewe.Mkatoliki gani
******* km nyie mnapaswa kutengwa.
Km maamuzi ya maaskofu wanakosea mnasubiri nini kutoka nendeni huko madhehebu yapo mengi.
Mnapewa na kutekeleza amri haramu haramu nyie wanaharamu.
We kweli ni LOFA,Sasa Kwa nini mnashindwa kustahamini mawazo kinzani na Yao. Wanamuambia Raia Samia anashindwa kutoa Uhuru wa watu kutoa maono Yao na kuandamana. Sasa Naona So called askofi amepanic na kuanzia kuvurumisha matusi na kashfa.. hajui yankuqa ina Ku expose yeye kuwa ni MTU wa Aina gani? Kwa nini anamdhalilisha jamaa Kwa kuona kuna injustice na kupaza sauti yake?
Kwa hivyo TEC Haina tofauti na CCM. Na kibaya zaidi TEC wanatumika Mwamvulinwa dini.. au TEC wanajiona wao wamiliki maisha au mawazo ya wakatoliki wote . Kwani Kitima ninmtawala au ktumishi WA mungu? Kama ni ktumishi WA Mungu aanze kuajindaa kuyasikiliza mawaO kinzani ya yake Kwenye kanisa au ndiyo Matanza kupatikankama huyu Tapeli wa Dar?
Usikuze mambo au jambo usilolijua kama huyo muumini feki aliyevaa rosari .Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Wapi wamesema kukamatwa kunaunganishwa na kutekwa , hebu nipe hicho kifungu nikakisomeKukamatwa wakati mwingine unakuunganisha na kutekwa, nimekupata sababu kadhaa za kwanini watu wanatekwa, ni uharamia upo dunia nzima huwezi kusema kwamba kila kutekwa kunahusiana na serikali moja kwa moja.
Military wings katika vyama vya siasa una habari zilishafutwa katika sheria mpya??Mnaanzisha vikundi vya kigaidi kina red brigade hamtakiwi kushangaa juu ya utekaji.
Unaweza kuthibitisha ajali ya Wangwe ilihusisha vipi mkono wa CHADEMA?Marehemu Chacha Wangwe suala lake lote mpaka anakufa lilikuwa na mkono wa CHADEMA wenyewe.
Weka hapa link au hiyo clip ya Odemba.Yapo mengi tu ambayo Mchange alikataa kuyaongelea hadharani alipohojiwa na Odemba.
Hebu elezea hiyo tume inachunguza chanzo cha maandamano je mauaji ya watu yanachunguzwa na nani?Huwezi ukayajua masuala ya kisheria ambayo ni sababu ya kwanini tume imeundwa na Rais aliyemshauri ni mtaalam wa sheria za kimataifa, mpaka sasa hivi tume inaendelea na kazi yake.
Mbona unakua mtu wa double statement?Vifo vya Sheikh Sharif na Tindwa vimetokana na hali ya uasi ambayo waandamanaji waliitengeneza pengine wakidhani wanaichafua serikali,
Kwahiyo hako katoto kachanga pia kalikua kanataka kufanya uasi?hawakufa hao tu kalikufa katoto kachanga hakana hata miezi sita duniani. Vita haina macho watanzania tujifunze yapo masuala sio ya kuyashabikia kama Lissu alivyopenda kusema tutakinukisha.
Kama hajaona jema unataka aongelee jema lipi.?Heche hawezi kuiongelea serikali kwa mema hata siku moja,
Hujanijibu maswali yangu ujuaji upi huo unaoamanisha?kajaa ujuaji na kiburi sasa anapokutana na viburi wenzake huwa lazima aone anaonewa, huyo Heche alileta
Wakenya wangapi Heche aliwaleta ?Wakenya ili wafanye vurugu wote wamechezea shaba.
Msenge mama yako aliyekwenda leba akatanua miguu ukazaliwa wewe.
Mimi mkatoliki wa kuzaliwa, Father Kitima ameupata upadre mpaka kawa askofu mimi nikuwa mkatoliki, nina zaidi ya miaka 50 ndani ya ukatoliki, lazima tukosoane iwe tunapenda au hatupendi.
Father anakwaza wakatoliki wengi ambao kwa namna moja au nyingine wanafaidika na serikali hawawezi kumwambia kwa sababu ya maadili ya ukatoliki lakini wanakereka kumuona akiingia kwenye siasa kwa mgongo wa CHA
Una kichwa kikubwa ila kimejaa makamasi.Msenge mama yako aliyekwenda leba akatanua miguu ukazaliwa wewe.
Mimi mkatoliki wa kuzaliwa, Father Kitima ameupata upadre mpaka kawa askofu mimi nikuwa mkatoliki, nina zaidi ya miaka 50 ndani ya ukatoliki, lazima tukosoane iwe tunapenda au hatupendi.
Father anakwaza wakatoliki wengi ambao kwa namna moja au nyingine wanafaidika na serikali hawawezi kumwambia kwa sababu ya maadili ya ukatoliki lakini wanakereka kumuona akiingia kwenye siasa kwa mgongo wa CHADEMA.
Umeshindwa kushangaa Samia The Killer kuendelea kuwa Chamwino licha ya kuua maelfu ya raia wasiokuwa na hatia uje ushangae hili? Do you need a psychiatrist?Amekosea sana nitashangaa kama ataendelea kuwa Askofu
Umeingia JF Sept 2025. Sishangai majiji yako.. ndiyo nyinyi mlikuwa recruited Kwa KAZI maalumu ya kinyumbuWe kweli ni LOFA,
Anaita wenzake lofa yy anafanya kazi Gani hapo misheni
Papa katoa maelekezo kwamba viongozi wa kikatoliki wasijiingize kwenye siasa, na yeye haelewi maana ya social gospel?.Una kichwa kikubwa ila kimejaa makamasi.
Kama wewe ni Mkatoliki kweli unauelewa gani ni mafundisho ya kanisa lako yanayojulikana km SOCIAL GOSPEL?
Ukinijibu nije tuendelee na mjadala.
Kwa hiyo wewe ni mkatoliki wa Mwanza Mkuu?Ya kawaida kwako kwa sababu wewe ni mhuni kama huyo Askofu Ruwaichi
Na wewe ni Mkatoliki mwenzetu Mkuu?Papa katoa maelekezo kwamba viongozi wa kikatoliki wasijiingize kwenye siasa, na yeye haelewi maana ya social gospel?.
TEC unavyoiona kwa nje ni tofauti na ilivyo kwa ndani. Wanao ukaribu na ufisadi wa kwenye mfumo wa utawala, unaweza kudhani wanampigania raia kwa nia njema kumbe wapo kazini wakitetea maslahi ya mfumo unaotawala nchi.
Nipo hapa mbezi beach karibu sana.Na wewe ni Mkatoliki mwenzetu Mkuu?
Nimecheka sana!Msenge mama yako aliyekwenda leba akatanua miguu ukazaliwa wewe.
Mimi mkatoliki wa kuzaliwa, Father Kitima ameupata upadre mpaka kawa askofu mimi nikuwa mkatoliki, nina zaidi ya miaka 50 ndani ya ukatoliki, lazima tukosoane iwe tunapenda au hatupendi.
Father anakwaza wakatoliki wengi ambao kwa namna moja au nyingine wanafaidika na serikali hawawezi kumwambia kwa sababu ya maadili ya ukatoliki lakini wanakereka kumuona akiingia kwenye siasa kwa mgongo wa CHADEMA.
Kasoma miaka mingi mfumo ule ule unaozalisha maaskofu.Nimecheka sana!
Kwa hiyo father Kitima alipewa uaskofu?