Labda Tanga na Zanzibar, lakini kwa Mtwara na Lindi CHADEMA ina wafuasi wengi tu.Waislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
Punguza udini. Nyie ndio mnaharibu nchi.Kama yasingekuwa matakwa ya kisheria ya vyama vya siasa CHADEMA wasingekaa kuhangaika na Zanzibar, Haina maslahi yoyote kwao
Nilistuka kidogo kusoma kichwa cha mada; halafu na kutazama mwanzilishi wa mada ni nani.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Na inanilazimu niseme; hao CHADEMA wasije wakaingia kwenye upuuzi uliofanywa na CCM.Waislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
ChaiWaislamu wachache wanaikubali CHADEMA humu ndani, wengi wanaipinga. Hata Zanzibar na Mikoa ya Lindi, Mtawara, Tanga na mengine yenye Waislamu wengi CHADEMA imekuwa inapata shida kufanya vizuri muda wote.
Kinachoizuia chadema kuchukua nchi ni dola. Kukiwa na tume huru ya katiba hakuna wa kuizuia chadema wala hizi perceptions haziwezi zuia lolote.CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mkuu,CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Kwamba udini ni hoja ya msingi kwenye maendeleo ya nchi, pmbv kabisa!!Hahaha naijua hiyo...unaitengenezea kejeli hoja ya msingi kwa kuidogosha na myopic
CHADEMA ni chama chenye sera nzuri sana, maono ya juu na ya mbali ya karne ya 21 na watu wenye akili kubwa sana ila kwa bahati mbaya wamekuwa wa upande mmoja zaidi wa Ukristo. Ni nadra kukuta Waislamu wakijiambatanisha na CHADEMA.
Sijui kwa nini Waislamu wengi hawana mahaba kabisa na CHADEMA pamoja na CHADEMA kutetea mambo ambayo ni ya maslahi kwa raia wote!
Kwa nchi kama hii ya kwetu CHADEMA ina kibarua kigumu sana.
Mkuu,Chama cha Udini na
Ukabila kabisa✍️
Mbona humu ndani kuna waislamu wengi wanaikubali Chadema na kuna wakristo wengi wanaipenda CCM?
Mkuu Bado uko kwenye pingu za dini kwenye hiki kizazi cha kuhoji?! Kama una zaidi ya miaka 35 nitakuelewa ukiwaza kwa mtazamo wa kidini. Ukweli ni kuwa wengi wa walioko chini ya miaka 35 ni nadra kufanya maamuzi kwa hisia za kidini, maana hawaamini kwenye hizo dini, bali AI Technology. Na kwa kukusaidia tu, haitapoteza muda kubalance wafuasi kwa kigezo cha dini, maana dini si kigezo cha kuwa mfuasi wa cdm. Hizo ni siasa za kiccm. Na hakuna muisilamu yoyote kazuiwa kujiunga na cdm.
Kwamba watanzania wote walitakiwa wawe CUF au ccm enzi hizo? Huu upuuzi wa mitazamo ya kidini ni wa siasa outdated za ccm. Cdm wasije wakalogwa kuiga huu upuuzi. Muisilamu anayetaka kuwa mfuasi wa cdm awe kwa mantiki ya itikadi, cheo ni nafasi ya uongozi ambayo inagombewa. Cha muhimu ni uchaguzi wa haki kama ule wa uenyekiti wa cdm. Sio huo upuuzi wa kubalance hizo dini zenu.Wewe kipindi cha CUF Maalim Sefu na CCM kulikuwa na Benjamin William Mpaka wewe ulikuwa upande upi???
Shem nimedindisha.Noma kwe.
Hii propaganda ya kipuuzi ya udini na ukabila ilitengenezwa na ccm enzi za Mbowe. Baada ya kuingia Lisu cdm kimekuwa chama halisi cha ukombozi, na sio huo upuuzi wa dini. Waisilamu wenyewe ndio hawa wakina Samia wanaoshinda na hijabu anaiba uchaguzi kitoto hadi kufanya mauaji, na hataki kuwajibika.Chama cha Udini na
Ukabila kabisa✍️
Hii propaganda ya kipuuzi ya udini na ukabila ilitengenezwa na ccm enzi za Mbowe. Baada ya kuingia Lisu cdm kimekuwa chama halisi cha ukombozi, na sio huo upuuzi wa dini. Waisilamu wenyewe ndio hawa wakina Samia wanaoshinda na hijabu anaiba uchaguzi kitoto hadi kufanya mauaji, na hataki kuwajibika.