ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Na mimi nilitaka kuulizaMack au marphy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nilitaka kuulizaMack au marphy?
Mimi hainiingii akilini series ina episode hadi 1000+ inatia ukakasi. Movie nyingine zinakuwa na season moja lakini madj wanakuwa na hadi season 4 ya hiyohiyo season 1Huyu msengerema yaani episode moja yeye anatoa 4. Mnaoangalia hizi series za kutafsriwa mna kazi sana. Episode 1 ina dk 10?
Baada ya bando kupanda, nikasema ngoja nikarushe nilichokutana nacho bora niendelee kudownload tu.
SamahaniMbona wewe dada kigeugeu unaleta masihara kwenye kazi za watu wenzako wakale wapi ?
We ni zezeta basi kaangalie katuni we mbwaHakuna mwenye akili timamu akaangalia huo ujinga.
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Jana tulikuwa tunaangalia mov na dogo… akasema mov haina subtitles, haijatafsiriwa mie hata hainogi 😂 na inaleta usingizi.Acheche🤣🤣 jina linachekesha
Nilikua naangalia zile za Rufufu Mukandala, jaman alikua ni anatafsiri uongooo ila ndio movie zinanoga hatari😂😂
Zile quality zao hahahaa sijui kwann zinqkuq mbayaJana tulikuwa tunaangalia mov na dogo… akasema mov haina subtitles, haijatafsiriwa mie hata hainogi 😂 na inaleta usingizi.
Zinanogesha sema mov quality hamna 😝 unakuta nyingine zimepauka hadi basi kama ile SOZ
Murphy anafurahisha sanaaItakuwa Dj murphy
Utakuwa mtafasiri movie wewe, anyway yaani nikiona mtu anaangalia hizo series za kutafsiri namshusha thamani, mnatafsiri mtafikiri mnagombana na mtu kelele nyingi mpaka kero.Sawa mjanja wa Kijiji. Kumbe tafsiri ya lugha ni ujinga.
Sijui wanyaturu wamewakosea nini utasikia "amekalisha mnyaturu" mara "kuna mnyaturu kajileta"Murphy anafurahisha sanaa
Na kuna yule mwingine anasema ona hawa Wanyaturu kila neno anawataniaewanyatyru 😂😂😂
Movie inakua na quality ya 3gp itatoa wapi ubora? Ambayo dj anajielewa kwambaaali ataweka 480p ama 360p. Ambazo hizo ni low quality video. Atleast mtu aweke 720p (HD) au full HD kabisa (1080p)Jana tulikuwa tunaangalia mov na dogo… akasema mov haina subtitles, haijatafsiriwa mie hata hainogi [emoji23] na inaleta usingizi.
Zinanogesha sema mov quality hamna [emoji13] unakuta nyingine zimepauka hadi basi kama ile SOZ
😂😂😂Mbona katutusi hivyo, kosa letu nini sie tunaoangalia hizo movie kwani jamani🤣🤣🤣🤣
Wanaweka hivyo ili wapate wateja wengi zaidiMovie inakua na quality ya 3gp itatoa wapi ubora? Ambayo dj anajielewa kwambaaali ataweka 480p ama 360p. Ambazo hizo ni low quality video. Atleast mtu aweke 720p (HD) au full HD kabisa (1080p)
Hata hao ni watuMovie za Mabeki 3 hizo na kina dada wa uswahilinii yaniii..
😂😂😂😂😂Sijui wanyaturu wamewakosea nini utasikia "amekalisha mnyaturu" mara "kuna mnyaturu kajileta"
Ma dj humu ni wengiUtakuwa mtafasiri movie wewe, anyway yaani nikiona mtu anaangalia hizo series za kutafsiri namshusha thamani, mnatafsiri mtafikiri mnagombana na mtu kelele nyingi mpaka kero.