Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

Swali ni je? wanazalisha Watu sahihi wa kutupatia kile tunachokiona kwa hao wanaotuvutia na filamu zao?.
Walioshikilia soko la filamu hawataki kuwapa nafasi hao wasomi sababu wanajua ndio anguko lao mazima, nina ushahidi na hilo pia kaangalie kipindi cha Salama na Monalisa utamsikia masikitiko yake.
 
Hapa mtapiga kelele ila ukweli ni huu. Watarishaji wa filamu bongo wanafanya kama vile soko linahijati(wateja).

Je unajua wateja wa filamu ni kina nani? Wateja wafilamu za kibongo wa muda wote ni wanawake (loyal customers) acha na sisi wanaume wazee wa logic thinking.

So yote mnayoona yanafanyika target kubwa ni hiyo. Watayarishaji masoko yao wanayajua vizuri sana ndio maana wanatenganeza hizo hizo na kulipa bills zao za kila siku.

Shabaha wahususi ya zama hizi ni kuruka kwenye television za ving'amuzi kwaiyo waandaaji wengi wamejikita kwenye maudhui ya ndani(local) ili vizuri na wateja wao.
 
Walioshikilia soko la filamu hawataki kuwapa nafasi hao wasomi sababu wanajua ndio anguko lao mazima, nina ushahidi na hilo pia kaangalie kipindi cha Salama na Monalisa utamsikia masikitiko yake.
kwa upande wa cinematographers wasomi hawajui kitu.
Nimekutana nao kadhaa full kutetemeka tu ukimpa camera.
Yote ni sababu wanafundishwa na film academicians na sio film experts
 
Kipaji then muonekano sasa siku hiz muonekano above all
 
Kanumba ndo alikuwa anaibeba industry ya Bongo Movie,kwahyo kifo chake ndo kiliharibu kila kitu maana Hawa waliobaki Ni wababaishaji tu
 
Shida ni soko. Soko halieleweki ndo maana hakuna anayewekeza nguvu nyingi bongo movies. Maana wanajua faida yao haitarudi. Hii ndo sababu wanendelea kutoa movies za low budget.
 
kwa upande wa cinematographers wasomi hawajui kitu.
Nimekutana nao kadhaa full kutetemeka tu ukimpa camera.
Yote ni sababu wanafundishwa na film academicians na sio film experts
Watanzania tupo nyuma kwenye kila kitu aisee labda Umbea na Masengenyo ndio tutakua namba moja duniani lakini vingine sijui tuna shida gani.
 
Walioshikilia soko la filamu hawataki kuwapa nafasi hao wasomi sababu wanajua ndio anguko lao mazima, nina ushahidi na hilo pia kaangalie kipindi cha Salama na Monalisa utamsikia masikitiko yake.
kingine hii industry ni open yeyote mwenye uwezo wa skills na pesa can join.
Wewe kama unamtaji milango ipo wazi unaweza kuingia.
Tengeneza stori if you can't hire mtu akusaidie.
Scrips na kila kitu including kuaanda cast you name it
Hire production team kazi ifanyike ya kiwango unachokitamani then upeleke sokoni.
Uone kama ni raisi au ni ngumu.
 
Watanzania tupo nyuma kwenye kila kitu aisee labda Umbea na Masengenyo ndio tutakua namba moja duniani lakini vingine sijui tuna shida gani.
yani ilo ndio soko lenyewe.
watu wanataka sembe wale washibe wewe unataka uwauzie ufuta eti kisa nayo ni nafaka.
 
Hawataki kujifunza....... elimu/sanaa ya uigizaji.....hakuna ubunifu kabisaaaaa.......anyway tuwaache tuu....mara ya mwisho kuangalia ilikuwa 2010......au wamebadilika now....
 
Wamepata maoni yenu wana jf
 
Walioshikilia soko la filamu hawataki kuwapa nafasi hao wasomi sababu wanajua ndio anguko lao mazima, nina ushahidi na hilo pia kaangalie kipindi cha Salama na Monalisa utamsikia masikitiko yake.
Hawataki kujifunza....... elimu/sanaa ya uigizaji.....hakuna ubunifu kabisaaaaa.......anyway tuwaache tuu....mara ya mwisho kuangalia ilikuwa 2010......au wamebadilika now....
Hawataki kujifunza....... elimu/sanaa ya uigizaji.....hakuna ubunifu kabisaaaaa.......anyway tuwaache tuu....mara ya mwisho kuangalia ilikuwa 2010......au wamebadilika now....
kumbe watu wengi tunafuatilia hizi movie tatizo Ubora .
 
Maigizo yanayoashilia ngono na mapenzi ,maonyesho ya vitandani mengi

Pili ukosefu wa uhalisia wakilishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…