1. Wakivaa yale ma Make up yao wanatisha jamani, sijui ni nani anawakandika vile [emoji119]
2. Wanawake wakubwa mno yaani mitipwatipwa haipendezi kucheza scenes za harakati zaidi ya mambo ya familia, hawajui vile Models hupendezesha screen.
3. Ubunifu wa Story zero na hii inatokana na Waandishi kua na Low IQ, hawawazi mambo makubwa zaidi ya yale yale tuliyoyazoea miaka nenda rudi,
4. Vifaa Duni, kuanzia Cameras, Technologia hadi Bajeti
5. Vipaji hakuna, wanachukuana wale wale kwa kujuana, kuna Wasomi wa Chuo cha Sanaa wanabaniwa kila sekta wanapitishwa wauza Sura
My Take;
Apatikane mdau/wadau mzuri awekeze kwenye hicho kiwanda, awekeze kwa Wasomi waliobobea kwenye kila taaluma ya Filamu, Sanaa yetu ikifika mbali hata hao Watalii watakuja wenyewe, kwanza tuna maeneo mengi sana na mazuri ya kufanyia shootings.