Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

Mamlaka za kusimamia na kudhibiti maudhi ya movie nazo zinabana sana...
 
Reactions: RNA
Uliona wapi Msanii kwenye Movie au Series role zote anachukuwa yeye😁
😂Story KANUMBA😂Script KANUMBA😁Sound KANUMBA😁Make up KANUMBA
😂😂😂😂
 
Ni naona shida kubwa ipo kwa directors (waongozaji). Director kwa kiasi kikubwa ndio huamua muvie iwe na uhalisia au la. Ila wasanii tunaowengi sana wenye uwezo na stori ambazo zinaweza kuwa converted into movie zipo nyingi sana mtaani. Filamu nyingi zilizoongozwa directors kutoka nje na actors wa hapa kwetu ni zinaubora sana. Rejea "Siri ya mtungi"na "hadithi za kumekucha".
Kuhusu bajeti, ni bora wafanye filamu moja iliyo na ubora kuliko kufanya filamu kumi za tia maji tia maji.
 
kudanga kwa wanawake kunawafanya wasiwe serious na kazi yao..
Ukuwaji kwa wanaume nao unawafanya wasiwe serious kwenye kazi yao..

kuendekeza ngono, na sifa miongoni mwao kunawafanya wasiwe serious na kazi yao..
 
Natuamaini hakuna Watayaridhaji wa muvi bongo wenye kufahamu Teknolojia hii achilia mbali bajeti yake. So watasuga benchi sana.
 
Reactions: RNA
Ustaa wa kishamba haswa akishamiliki m10 naye ni kujifungia ndani mchana usiku kula bata
Hapo ndipo wanapokosea
 
Haiwezekani ku support kazi mbovu
 
Uwezo wa akili wa waigizaji wetu, producers na directors ni mdogo sana. Pia kuigiza inahitaji uwezo wa imagination wa hali ya juu, jamii yetu wengu hawana viwango vikubwa vya imagination na kuitafsiri imagination iende kwenye sanaa au ubunifu.

Suala lingine muhimu ni uchumi na uwekezaji mdogo
 
Reactions: RNA

Namba 3 wala toa sio sababu. Unaijua movie ya Nelia?(sio bongo movie but najaribu kukupa uhalisia) ila tu kiufupi bongo movie nyingi hawajui wanachokifany wanaigizia insta atleast karibuni kuna tamthiliya kama beki 3 na kombolela zimeknock na uhalisia.
 
Ustaa wa kishamba haswa akishamiliki m10 naye ni kujifungia ndani mchana usiku kula bata
Hapo ndipo wanapokosea
kudanga kwa wanawake kunawafanya wasiwe serious na kazi yao..
Ukuwaji kwa wanaume nao unawafanya wasiwe serious kwenye kazi yao..

kuendekeza ngono, na sifa miongoni mwao kunawafanya wasiwe serious na kazi yao..
Asanteni
 
Swali Lako zuri...
1. Ukosefu wa ubunifu,,,hatuna wasanii wa kutufumbua macho Ila wakutufumbia macho kibao! UPUUZI!
2. Kama unajua kuigiza afu huna kalio hollaa Ila Kama hujuikuigiza na kalio unalo,unakuwa mke wa stering'!!! UNDEZI!
3. Bongo muvi kila anaeigiza Kama mlinzi Ni mchekeshaji kwenye muvi zingine!!! HATUTOBOI.
4. Kinachosemwa kingine afu kinachotafsiriwa kwenye subtitle tofauti!!! UKENGE!
5. Asilimia kubwa muvi zinahusu zali la mentali. Boya kaolewa na tajiri na demu kuangukia kwa pedeje!! TUTABAKI TULIPO!!!
6. Unaigiza umaskini kijijini afu wingi la kilo mbili liko kichwani! USHENZI MTUPU
 
Hahaa vizuri
 
Changamoto ya bongo movie ni
1. Utungaji wa story
2. Mpangilio wa matukio
3. Waigizaji
4. Uhalisia wa matukio
5. Camera/ production equipment
6. Editing skills
7. Investment
8. Time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…