Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

Hivi unadhani kama sio chokochoko ni nini?
Na mmeshaambiwa msichanganye dini na siasa?
Kuendelea kuwasomea watu manatafta nini?
makuwadi ya warabu mwambieni mamayenu kuwa hela alizohongwa atazitolea kwenye kila tundu la mwili asipozirudisha kwa hiari.
 
Umepanick?

Tunauliza tu je kama angekuwa ni mama kuto ugalatiani mngemtukana namna hii?

Hii inadhihirisha wazi kuwa mmeumia sana rais wa kwanza MWANAMKE tanzania kuwa ni MUISLAM

Endeleeni na maumivu, Mungu akipenda hii ni mpaka 2030
Imeisha hiyooo
 
acha ujinga,baraza sio basuta.
Na ndio maana nimetaja baraza,
Basuta ni waungwana na waadilifu, si wagomvi wala hawana lengo la kuamrisha bali wametahadharisha tu, na kwa kweli lolote linaweza kuwa
Hali haitabiriki, kama mlidhani ni enzi zile basi zimepita saa hii habari nyingine inakuja
 
Rudisheni mlichokula!!

Usicheze na nguvu ya Umma.
Hakuna nguvu ya umma hapo, labda ya kanisa, lakini msichojua nalo limeanza kuwa dhaifu kila uchwao, Wengi mliodhani ni
wajinga wameelimika sasa
Kazi ipo
 
Sasa na wewe usichanganye dini na siasa yamesomwa kanisani yanakuhusu nini ya kanisani? Em tulia mkuu hakuna wakukiwasha kwenye hii ichi ila unatakiwa kujua mkataba ni mbovu na tumeugomea.....

wewe ukubali na ukiwa uko ulipo waambie umeukubali....
Sie kazi yetu ni kutahadharisha tu, kwani zama hubadilika na mambo hugeuka

Someni alama za nyakati
 
Hakuna nguvu ya umma hapo, labda ya kanisa, lakini msichojua nalo limeanza kuwa dhaifu kila uchwao, Wengi mliodhani ni
wajinga wameelimika sasa
Kazi ipo
Madalali wanaumiza vichwa wayarudisha vp kianzio walichopewa!!

Mali ya ukoo haiuzwi kirahisi hivyo, acheni tamaa ya FISI kutamani mkono unaoninginia!!
 
You can fool some people sometimes, but you cant fool all the peoples all the time

Nyie baraza wacheni kabisa kujidai mnasemea watu wote wakati hata wengi hawawajui, msilazimishe mambo, haya mnayoendeleza ni chokochoko za uvunjifu wa amani

Kikisanuka hapa hatutawaona mjueeee,
Enzi ziliisha na hii ni dalili ya anguko rasmi
Ngoja tuone kama kweli uhuru unazingatiwa
Peleka kiuno chako huko kibandamaiti, huku Bara watu wanatumia akili. Wakigomea kitu ujue wametafakari vya kutosha. Usitishie nyau wanaume.
 
Pumbas, eti bara wanatumia akili?
Hatishiwi mtu hapa, nyakati zimeisha na anguko ni hakika ni mda tu unasubiriwa, watu wamejipanga nyie endeleeni kukariri
 
Madalali wanaumiza vichwa wayarudisha vp kianzio walichopewa!!

Mali ya ukoo haiuzwi kirahisi hivyo, acheni tamaa ya FISI kutamani mkono unaoninginia!!
Hizi ni hasira na chuki tu, ila ukweli upo pale pale, hakuna kilichiuzwa wala hakitauzwa, endeleeni kupiga mipasho

Ila mambo yanaenda kuwa chini juu
Ni mda tu
 
Mkataba FAKE mwisho august,

September tutakuwa tunajadili issues zingine kbs!!
 
Umepanick?

Tunauliza tu je kama angekuwa ni mama kuto ugalatiani mngemtukana namna hii?

Hii inadhihirisha wazi kuwa mmeumia sana rais wa kwanza MWANAMKE tanzania kuwa ni MUISLAM

Endeleeni na maumivu, Mungu akipenda hii ni mpaka 2030
Imeisha hiyooo
Huko ni kujihisi na kujishtukia tu. Watu wanamweshimu sana Mh:Rais na wala hawana tatizo na dini yake.
Watetezi wa mkataba ndio mnamdhalilisha Rais.
Mngetoa mapungufu ya wanaopinga vioengele vya mkataba ndio mngeonekana wa maana. Ila sasa hakuna hata mmoja anayejitokeza kutoa ufafanuzi kwa vipengele vinavyolalamikiwa badala yake mnatukana watu,mnawatishia na kutweza utu wao. Hiyo ni dalili ya kuelemewa kwa uzito wa hoja zitolewazo.
 
Labda umvivu wa kusoma, wengi wamezijibu na hata serikali wameeleza lakini kwa kuwa ni agenda rasmi basi kila mbinu inatumiwa kupinga,
Tukirudi kwenye matusi ni nyie ndio mnatukana, kama huyo hapo juu anmwambia rahisi eti hela ulizokula utazitoa kupitia tundu ya mwili, hii imekaaje? Najua kwa kuwa ni mwenzenu utasema hakuna tusi hapo, nitakupa mfano wakati flani wakati wa utawala wa nyerere kuna wajumbe walidai tanganyika, sasa nyerere kwa uhodari wake akawauliza kwani moja na moja ni ngapi? Walivyomjibu ni mbili akasema basi ni serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi zanzibar yukiweka Tanganyika itakuwa tatu,

Nadhani hapo umepata majibu ya kwanini mnsimamia upingaji wenu?
Hata kama manufaa yatarudi kwenu

Rais na aheshimiwe hata kama sio mkiristo
 
You can fool some people sometimes, but you cant fool all the peoples all the time

Nyie baraza wacheni kabisa kujidai mnasemea watu wote wakati hata wengi hawawajui, msilazimishe mambo, haya mnayoendeleza ni chokochoko za uvunjifu wa amani

Kikisanuka hapa hatutawaona mjueeee,
Enzi ziliisha na hii ni dalili ya anguko rasmi
Ngoja tuone kama kweli uhuru unazingatiwa
kinawauma nini? walaka wameandika wao, wameusoma kwenye makanisa yao, mbele ya waumini wao, kwani wamelazimisha watu kwenda kanisani?

ni nyie someni mkataba wenu mbele za raia wenu, ili msichanganye siasa na dini.
 
Najua hakuna atakaeweza kujibu, ni mipasho tu kwenda mbele
 
Back
Top Bottom