Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mimi huu naona ni kupandikiza chuki
Lakini unajua kama wengine wakifanya mazoezi tu kwa ajili ya afya kwenye hizo hizo nyumba za ibada (sehemu maalum ya mazoezi (dojo)) hukatazwa? Na hata kubambikiwa kesi za ugaidi ajili tu ya mazoezi?
Hao wanaofanya mazoezi ya judo kwenye nyumba za ibada wamekamatwa na TEC?Kwa mimi huu naona ni kupandikiza chuki
Lakini unajua kama wengine wakifanya mazoezi tu kwa ajili ya afya kwenye hizo hizo nyumba za ibada (sehemu maalum ya mazoezi (dojo)) hukatazwa? Na hata kubambikiwa kesi za ugaidi ajili tu ya mazoezi?
Haoana, wamekamatwa na serikali,Hao wanaofanya mazoezi ya judo kwenye nyumba za ibada wamekamatwa na TEC?
Chuki ni kuwaaminisha watu au waumini kitu ambachi hakipo kwenye mkataba wa dp, hakuna sehemu hata moja kwenye waraka umeonesha angalau kwa uchache faida za mkataba,View attachment 2730689
Onyesha chuki kwenye hizo hoja za waraka tujue kwamba umeelimika.
Naona maCCM yamekaa yamerlax huku tukishuhudia mashehe wa BAKWATA wakichochea chuki za kidini. Nchi hii ikivurugika tutaumia sote.....hakuna atakayesalimika.You can fool some people sometimes, but you cant fool all the peoples all the time
Nyie baraza wacheni kabisa kujidai mnasemea watu wote wakati hata wengi hawawajui, msilazimishe mambo, haya mnayoendeleza ni chokochoko za uvunjifu wa amani
Kikisanuka hapa hatutawaona mjueeee,
Enzi ziliisha na hii ni dalili ya anguko rasmi
Ngoja tuone kama kweli uhuru unazingatiwa
Huna kazi?Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya....
Hivi siasa ni nini na dini ni nini?
Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini?
Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi?
Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani?
Na siasa je, inafanyikia wapi na mipaka yake ni ipi?
Hivi kuna eneo lolote ambapo dini na siasa au siasa na dini vinakutana na kufanya kazi pamoja kwa amani?
Hivi anayeonya juu ya kuchanganya siasa na dini au dini na siasa anatakiwa kutumia platform gani?
Ninaendelea kutafakari...