Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

Kila jambo lina mwanzo na huko ni kutia chuki waumini dhidi ya serikali, haiwezekani kurudia rudia kitu moja kila wiki isipokuwa ni kutaka kupandikiza chuki tu
Inachoshangaza, mnaochukia ni ninyi. Waumini wala hawajachukia, ila wasio waumini sasa, ndio wanajenga chuki, sijui kwa nini ?
 
Inachoshangaza, mnaochukia ni ninyi. Waumini wala hawajachukia, ila wasio waumini sasa, ndio wanajenga chuki, sijui kwa nini ?
Umeona hata muislam mmoja ameniunga mkono kwenye hoja hii? Bali wakristo zaidi 50 wamenichallenge, unajua kwanini?
Coz
Wakristo ni wadini sana
 
Unapobeba kichwa kikubwa akili kisoda hapo ndio shida inapoanza
 
Kila jambo lina mwanzo na huko ni kutia chuki waumini dhidi ya serikali, haiwezekani kurudia rudia kitu moja kila wiki isipokuwa ni kutaka kupandikiza chuki tu
Kurudia rudia waraka wowote wa kanisa ni utaratibu wao wa kawaida. Kwani hao waumini hawawezi kupima ukweli wa kinachosemwa? Kawaambie serikali ipeleke hao waumini kwenye dhehebu jingine kama unaona nongwa wao wakitumia utaratibu wao, tena ndani ya nyumba zao za ibada.
 
Ukitukanwa unalalamika. Unataka kusema nini wewe Mwarabu?
 
Baraza wanaepusha shari kabla ya hatari,kwani wao ndio upata tabu ya kuhudumia wakimbizi pindi wanasiasa wakikimbilia ulaya kikinuka
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Uislam na uanamke wake sisi unatuhusu nini by the way waislam nchi hii mko wangapi au hujui kuwa wakristu wakiamua kuwa waislam msipate rais nchi hii maisha yenu yote hamtapata, endeleeni na upumbavu wenu wa kijinga mkikaa misikitin wenyewe huwa mnajihisi nchi hii watu wote waislam wakati huku kanda ya ziwa waislam ni wa kuhesabu tena kwenye miji halafu mnaleta ushenz wa uislam, Narudia tena mwambieni mama yenu kuwa arudishe pesa alizohongwa na warabu kwa hiari asipofanya hivyo zitamtokea kwenye kila tundu la mwili wake.
 
Hakuna nguvu ya umma hapo, labda ya kanisa, lakini msichojua nalo limeanza kuwa dhaifu kila uchwao, Wengi mliodhani ni
wajinga wameelimika sasa
Kazi ipo
Makuwadi ya warabu dpworld mwambieni mamayenu arudishe pesa alizohongwa na warabu asipofanya hivyo zitamtokea kwenye kila tundu la mwili wake kwa lazima.
 
Kwahiyo wewe unaunga mkono mkataba kwakua rais ni muislamu mwenzio?
 
Kila jambo lina mwanzo na huko ni kutia chuki waumini dhidi ya serikali, haiwezekani kurudia rudia kitu moja kila wiki isipokuwa ni kutaka kupandikiza chuki tu

Sikufahamu kuwa una akili ndogo kiasi hichi,nawewe utakua na familia au na digrii?basi pole kwa familia yako na chuo ulichosomea.

Umejitoa akili hadi unaonekana mjinga hata kama ni pesa umelipwa basi kula nyama nyamaza ila kwa hili la mkataba wa dpw kila mwenye hekima na uelewa wa mambo anajua tz viongozi wameingia cha kike
 
Kweli wengi hawajavisoma vipengere vya mkataba sasa tuache wakatoliki wawasomee wananchi ili wengi waelewe hivyo vipengere. Nashauri na basuta nao wawasomee wananchi vipengere vya mkataba ili tuone wengi wataukubali huo mkataba.
Wengi waropokaji hawajavisioma vipengere vya hiyo iga
 
Hakuna wanaopinga zaidi ya nyie tu
 
Makuwadi ya warabu dpworld mwambieni mamayenu arudishe pesa alizohongwa na warabu asipofanya hivyo zitamtokea kwenye kila tundu la mwili wake kwa lazima.
Endelea tu na matusi, kwa kuwa wewe hukuzakiwa na mama, hii ni dalili nyingine ya kuchanganyikiwa baada ya kuona anguko linakuja
 
Kwa mimi huu naona ni kupandikiza chuki

Lakini unajua kama wengine wakifanya mazoezi tu kwa ajili ya afya kwenye hizo hizo nyumba za ibada (sehemu maalum ya mazoezi (dojo)) hukatazwa? Na hata kubambikiwa kesi za ugaidi ajili tu ya mazoezi?
 
Aliyeelewa pls anifafanulie nitamuozesha @FaizaFoxy🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…