Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

Toa majibu ya hizo ibara ndo na wewe mleta mada tukuweke kwenye orodha ya wasomi walioelimika
 
Kwa mimi huu naona ni kupandikiza chuki

Lakini unajua kama wengine wakifanya mazoezi tu kwa ajili ya afya kwenye hizo hizo nyumba za ibada (sehemu maalum ya mazoezi (dojo)) hukatazwa? Na hata kubambikiwa kesi za ugaidi ajili tu ya mazoezi?

Onyesha chuki kwenye hizo hoja za waraka tujue kwamba umeelimika.
 
Hao wanaofanya mazoezi ya judo kwenye nyumba za ibada wamekamatwa na TEC?
 
View attachment 2730689
Onyesha chuki kwenye hizo hoja za waraka tujue kwamba umeelimika.
Chuki ni kuwaaminisha watu au waumini kitu ambachi hakipo kwenye mkataba wa dp, hakuna sehemu hata moja kwenye waraka umeonesha angalau kwa uchache faida za mkataba,
Cguku unaweza kuipeleja direct au indirect

Kaeni chonjo anguko linakuja
 
Naona maCCM yamekaa yamerlax huku tukishuhudia mashehe wa BAKWATA wakichochea chuki za kidini. Nchi hii ikivurugika tutaumia sote.....hakuna atakayesalimika.
 
Huna kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…