The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #21
Mkatoliki wa buza unajifanya unaelewa kuliko wakatoliki wenye kanisa lao la Roma kutoka Poland, Ukraine. Poland imewahi kutoa mapapa kadhaa. Wao pia hawakuelewa waraka ila wewe mkatoliki wa Buza ndio umeelewa zaidi?Acha kunengua, badala ya kuleta taarifa za Aljezeera, , BBC na CNN nenda ulete taarifa ya Vatican uiweke hapa uone kama haujaishia kujiona fala au haujaishia kuvichukia hivyo vyombo vyako vya habari kwa kukushika akili.
Uliambiwa wa Buza ndiyo hatuna uelewa? Au uliambiwa kuwa sisi wa Buza ni less catholic? Badala ya kuleta taarifa ya hivyo vyombo vya habari vinavyopigania ndoa za jinsia moja, nilitaraji ungeenda kwenye website ya Vatican ukalichukue na ku share tamk la Papa. Badala yake mnaungana na vyombo vyenu kusambaza taarifa mnazozitaka huku mkijifanya mnapingaMkatoliki wa buza unajifanya unaelewa kuliko wakatoliki wenye kanisa lao la Roma kutoka Poland, Ukraine. Poland imewahi kutoa mapapa kadhaa. Wao pia hawakuelewa waraka ila wewe mkatoliki wa Buza ndio umeelewa zaidi?
View: https://twitter.com/FoxNews/status/1738571226962858398?s=19
TEC za Malawi, Zambia, Nigeria, Kenya nk wametoa matamko kupinga huo waraka.Uliambiwa wa Buza ndiyo hatuna uelewa? Au uliambiwa kuwa sisi wa Buza ni less catholic? Badala ya kuleta taarifa ya hivyo vyombo vya habari vinavyopigania ndoa za jinsia moja, nilitaraji ungeenda kwenye website ya Vatican ukalichukue na ku share tamk la Papa. Badala yake mnaungana na vyombo vyenu kusambaza taarifa mnazozitaka huku mkijifanya mnapinga
Nimemsikiliza Ruwaich akiongea, nikashangaa vyombo vya habari viki report kuwa amgomea Papa, nikashangaa sana.Kwani tuna ugomvi mimi nawe mbona swali nimeuliza la kawaida tu ?
Basi tu achane na hilo.
Haya mabaraza mbalimbali ya maaskofu wa katoliki katika nchi mbalimbali duniani yanayopinga kubariki mashoga ni kwamba waraka hayaja soma na ukatoliki hayaufahamu hata chembe ?
Sasa hapa ndiyo umeuliza swali la msingi na ume quote kwa usahihi.Kwamba papa hakusema mashoga wabarikiwe kanisani, sio? Hebu nisaidie kwa uelewa wako alisema kitu gani mkuu.
Mkuu naona umeingia mle mle kwenye kamati ya ufafanuzi usio na kichwa wala miguu lakini ukweli unabaki palepale kwamba Papa ameagiza ndoa za mashoga zibarikiwe.Sasa hapa ndiyo umeuliza swali la msingi na ume quote kwa usahihi.
Ni kweli, Papa amesema Mashoga wabarikiwe, siyo mdoa, bali mashoga.
Lengo la kuwabariki ni kuwaweka karibu na kanisa badala ya kuwatenga. Kanisa halipaswi kuwatenga wadhambi bali linapaswa kuwakusanya ma kuwakumbatia. Maaba ya kubarikiwa.
Fundisho linasema yeyote anaweza akaomba baraka, katika utoaji wa baraka Padre anajua anachopaswa kufanya. Anawaweza akawabariki ili Mungu awaangazie waweze kuitambua kweli na kuiishi.
Je, kuna kosa kumuombea mdhambi au kumbariki mdhabi aweze kubadilika?
Ieleweke, hata iwe vipi, Padre hawezi akatoa baraka iliyo kinyume na mafundisho ya Mungu na Kanisa.
Mafundisho ya Kanisa juu ya ndoa yanajengwa katika Msingi wa Uumbaji. Ambapo Mungu alimuumbwa mwanaume, halafu akamuumba Mwanamke. Mafundisho na Sheria ya Kanisa havikuwahi kubadilishwa kuhusiana na ndoa. Hivyo basi padre hawezi akabariki ndoa ya watu wa jinsia moja. Siyo hao tu, Padre pia hawezi akabariki ndoa ambayo mwenzi ana matatizo ya akili, au ndoa ya ndugu wa damu.
Vyombo vya habari vinaruka ku report ufafanuzi unaotolewa, vyenyeww vinaenda kutengeneza taarifa ya kuonyesha kuwa Kanisa limeanza kupingana.
Nadhani nimejaribu kuelezea.
Ungefanya la maana sana kama ungeshare hilo fundisho lilitoa agizo hiliMkuu naona umeingia mle mle kwenye kamati ya ufafanuzi usio na kichwa wala miguu lakini ukweli unabaki palepale kwamba Papa ameagiza ndoa za mashoga zibarikiwe.
Kwa hiyo hayo mabaraza ya Poland, Ukraine, Majimbo ya USA nk yaliyojitokeza kupingana na waraka wa Papa, wao wanapinga nini?Sasa hapa ndiyo umeuliza swali la msingi na ume quote kwa usahihi.
Ni kweli, Papa amesema Mashoga wabarikiwe, siyo mdoa, bali mashoga.
Lengo la kuwabariki ni kuwaweka karibu na kanisa badala ya kuwatenga. Kanisa halipaswi kuwatenga wadhambi bali linapaswa kuwakusanya ma kuwakumbatia. Maaba ya kubarikiwa.
Fundisho linasema yeyote anaweza akaomba baraka, katika utoaji wa baraka Padre anajua anachopaswa kufanya. Anawaweza akawabariki ili Mungu awaangazie waweze kuitambua kweli na kuiishi.
Je, kuna kosa kumuombea mdhambi au kumbariki mdhabi aweze kubadilika?
Ieleweke, hata iwe vipi, Padre hawezi akatoa baraka iliyo kinyume na mafundisho ya Mungu na Kanisa.
Mafundisho ya Kanisa juu ya ndoa yanajengwa katika Msingi wa Uumbaji. Ambapo Mungu alimuumbwa mwanaume, halafu akamuumba Mwanamke. Mafundisho na Sheria ya Kanisa havikuwahi kubadilishwa kuhusiana na ndoa. Hivyo basi padre hawezi akabariki ndoa ya watu wa jinsia moja. Siyo hao tu, Padre pia hawezi akabariki ndoa ambayo mwenzi ana matatizo ya akili, au ndoa ya ndugu wa damu.
Vyombo vya habari vinaruka ku report ufafanuzi unaotolewa, vyenyeww vinaenda kutengeneza taarifa ya kuonyesha kuwa Kanisa limeanza kupingana.
Nadhani nimejaribu kuelezea.
Taarifa iliyotafsiriwa na hivyo vyombo kuwa inapingana na Papa?Kwa hiyo hayo mabaraza ya Poland, Ukraine, Majimbo ya USA nk yaliyojitokeza kupingana na waraka wa Papa, wao wanapinga nini?
Nyasi zimejaa tele hii nchiWakijitenga watakula nn?
Acha uongo unaijua bilioni 80??Dar pekee wamekusanya bilioni 80 mavuno achilia sadaka
Upo sahihi ila waumini wake wana ubavu wa kuachana na kanisa hilo.Hakuna kanisa lolote la katoliki africa lenye ubavu wa kujitenga na vatican[emoji1]
Ni ujinga wetu sisi wenyewe, sisi ni Waafrika na si Waislam wala Wakristu......tunajitakia ujinga tu kwa kuabudu miungu na mizimu ya watu wasio jamii yetu, inakuja kichwani kweli? Mwishowe baada ya kufilana tutaambiwa tuanze kuoa vitoto vidogo kama alivyokuwa anafanya Mohammed kwa kuoa kitoto Aisha na mke wa mwanawe.Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China.
China kanisa katoliki la Vatican halina nguvu yoyote ya kuteua wala kutangaza majimbo ya kiutawala ya kanisa badala yake ni kanisa katoliki China likishirikiana na serikali ya China ndio wanasimika mapadri na maaskofu kwenye majimbo.
Kama Kanisa Katoliki Afrika ama majimbo/makoloni ya kanisa katoliki ya Afrika hawakubaliani na maagizo ya Papa, watumie fursa hii kujitoa na kujiendesha wenyewe independently na Vatican.
Vinginevyo tekelezeni maagizo ya baba mtakatifu papa Francis.
Usisahau na Uislam pia, dini ya kigaidi na ubakaji pamoja na ufugaji majini.Kataa ukatoliki
Ukatoliki ni ushoga
Ukatoliki ni ubaguzi
Ukatoliki ni ukafiri
Ukatoliki ni upapa nyangumi francis
Yaaahh upo sahihi kabisa,,,labda waumini ndo waamue kulikachaUpo sahihi ila waumini wake wana ubavu wa kuachana na kanisa hilo.
Kupanga ni Kuchagua.
Check ripoti ya mavuno kijimbo.Acha uongo unaijua bilioni 80??
Wewe umechangia bilioni ngapi hadi uwe na uhakika wa kupata hizo bilioni 80??Check ripoti ya mavuno kijimbo.
Hela ndogo sana kwa wakatoliki hii