Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

Acha kunengua, badala ya kuleta taarifa za Aljezeera, , BBC na CNN nenda ulete taarifa ya Vatican uiweke hapa uone kama haujaishia kujiona fala au haujaishia kuvichukia hivyo vyombo vyako vya habari kwa kukushika akili.
Mkatoliki wa buza unajifanya unaelewa kuliko wakatoliki wenye kanisa lao la Roma kutoka Poland, Ukraine. Poland imewahi kutoa mapapa kadhaa. Wao pia hawakuelewa waraka ila wewe mkatoliki wa Buza ndio umeelewa zaidi?

View: https://twitter.com/FoxNews/status/1738571226962858398?s=19
 
Uliambiwa wa Buza ndiyo hatuna uelewa? Au uliambiwa kuwa sisi wa Buza ni less catholic? Badala ya kuleta taarifa ya hivyo vyombo vya habari vinavyopigania ndoa za jinsia moja, nilitaraji ungeenda kwenye website ya Vatican ukalichukue na ku share tamk la Papa. Badala yake mnaungana na vyombo vyenu kusambaza taarifa mnazozitaka huku mkijifanya mnapinga
 
TEC za Malawi, Zambia, Nigeria, Kenya nk wametoa matamko kupinga huo waraka.

Hapa Tanzania Ruwaich na Askofu wa Geita leo ametamka kwamba hatabariki ndoa za jinsia moja.

TEC za Poland, Ukraine na baadhi ya Majimbo ya USA wametoa matamko kupinga waraka wa Papa.

Halafu wewe useme papa hakusema ndoa za jinsia moja zibarikiwe.

Tuachane na media kama CNN, BBC, aljazeera, Fox news nk, je hizo "TEC" pia wanashirikiana na hizo media kusambaza propaganda? Kwamba papa hakusema mashoga wabarikiwe kanisani, sio? Hebu nisaidie kwa uelewa wako alisema kitu gani mkuu.
 
Kwani tuna ugomvi mimi nawe mbona swali nimeuliza la kawaida tu ?

Basi tu achane na hilo.

Haya mabaraza mbalimbali ya maaskofu wa katoliki katika nchi mbalimbali duniani yanayopinga kubariki mashoga ni kwamba waraka hayaja soma na ukatoliki hayaufahamu hata chembe ?
Nimemsikiliza Ruwaich akiongea, nikashangaa vyombo vya habari viki report kuwa amgomea Papa, nikashangaa sana.
Nadhani hivi vyombo vya habari vipo na agenda moja, na jamii inaenda kuwa blacked out kwa taarifa zisizo sahihi, jamii ikija kustuka ni too late.
Busara ni kujadiliana na kuungana kuliko kushambuliana.
Nimeleta clips zinazoonyesha ushoga ulivyotamalaki miongoni katika dini za Kiislam, vyombo vya habari hivihivi vinaendesha kampeni na kuwapa mashoga majukwaa ya kujieleza. Hii ni project kubwa sana inatekelezwa hatua kwa hatua.
Uislamu wa Ulaya na Marekani unaenda kuwa na sura tofauti na uislam wa uarabuni. Uislam wa Ulaya na Marekani, kwa sasa Imam wa kike anaswalisha wote. Uislam wa Ulaya na Marekani sasa hivi Maimamu ni Mashoga na waumini wanawatii.
Jamii isipokuwa makini na hivi vyombo vya habari basi ijue kuwa imechagua kufukiwa ikiwa hai.
 
Kwamba papa hakusema mashoga wabarikiwe kanisani, sio? Hebu nisaidie kwa uelewa wako alisema kitu gani mkuu.
Sasa hapa ndiyo umeuliza swali la msingi na ume quote kwa usahihi.
Ni kweli, Papa amesema Mashoga wabarikiwe, siyo mdoa, bali mashoga.
Lengo la kuwabariki ni kuwaweka karibu na kanisa badala ya kuwatenga. Kanisa halipaswi kuwatenga wadhambi bali linapaswa kuwakusanya ma kuwakumbatia. Maaba ya kubarikiwa.
Fundisho linasema yeyote anaweza akaomba baraka, katika utoaji wa baraka Padre anajua anachopaswa kufanya. Anawaweza akawabariki ili Mungu awaangazie waweze kuitambua kweli na kuiishi.

Je, kuna kosa kumuombea mdhambi au kumbariki mdhabi aweze kubadilika?
Ieleweke, hata iwe vipi, Padre hawezi akatoa baraka iliyo kinyume na mafundisho ya Mungu na Kanisa.
Mafundisho ya Kanisa juu ya ndoa yanajengwa katika Msingi wa Uumbaji. Ambapo Mungu alimuumbwa mwanaume, halafu akamuumba Mwanamke. Mafundisho na Sheria ya Kanisa havikuwahi kubadilishwa kuhusiana na ndoa. Hivyo basi padre hawezi akabariki ndoa ya watu wa jinsia moja. Siyo hao tu, Padre pia hawezi akabariki ndoa ambayo mwenzi ana matatizo ya akili, au ndoa ya ndugu wa damu.
Vyombo vya habari vinaruka ku report ufafanuzi unaotolewa, vyenyeww vinaenda kutengeneza taarifa ya kuonyesha kuwa Kanisa limeanza kupingana.

Nadhani nimejaribu kuelezea.
 
Fundisho linasema yeyote anaweza akaomba baraka, katika utoaji
wa baraka Padre anajua anachopaswa kufanya. Anawaweza akawabariki ili Mungu awaangazie waweze kuitambua kweli na kuiishi.

Je, kuna kosa kumuombea mdhambi au kumbariki mdhabi aweze kubadilika?
Ieleweke, hata iwe vipi, Padre hawezi akatoa baraka iliyo kinyume na mafundisho ya Mungu na Kanisa.
Mafundisho ya Kanisa juu ya ndoa yanajengwa katika Msingi wa Uumbaji. Ambapo Mungu alimuumbwa mwanaume, halafu akamuumba Mwanamke. Mafundisho na Sheria ya Kanisa havikuwahi kubadilishwa kuhusiana na ndoa. Hivyo basi padre hawezi akabariki ndoa ya watu wa jinsia moja. Siyo hao tu, Padre pia hawezi akabariki ndoa ambayo mwenzi ana matatizo ya akili, au ndoa ya ndugu wa damu.
Vyombo vya habari vinaruka ku report ufafanuzi unaotolewa, vyenyeww vinaenda kutengeneza taarifa ya kuonyesha kuwa Kanisa limeanza kupingana.

Nadhani nimejaribu kuelezea.
Mkuu naona umeingia mle mle kwenye kamati ya ufafanuzi usio na kichwa wala miguu lakini ukweli unabaki palepale kwamba Papa ameagiza ndoa za mashoga zibarikiwe.

Sasa kama baraka zinatolewa kwa wadhambi wote, why waraka utoke kuwalenga madhoga tu? What is so special hadi waraka utoke juu ya mashoga tu wakati kama ni 'dhambi' ziko nyingi.

Kuna wauaji, wabakaji, wafiraji, wanaolawiti watoto wadogo kama mapadri, wezi, nk. Why waraka utoke specific kwa ajili ya kuwabariki mashoga? What is so special kwa mtu ambae ni shoga hadi itolewe waraka maalum kwa ajili yao wakiombewa baraka? Waraka za watenda dhambi wengine ziko wapi? Mbona hazijawahi kutolewa?

Ama unataka kusema hapa Duniani mashoga ama watenda dhambi ya ushoga ni wengi sana kuliko watenda dhambi wengine hadi watolewe waraka maalumu?

Umesema vizuri kuna mafundisho ya Mungu na Kanisa. Mafundisho ya kanisa hutolewa na viongozi wa Kanisa akiwepo papa, sasa katoa maelekezo mapya ya mafundisho kwamba mapadri na maaskofu wabariki mashoga.
 
Mkuu naona umeingia mle mle kwenye kamati ya ufafanuzi usio na kichwa wala miguu lakini ukweli unabaki palepale kwamba Papa ameagiza ndoa za mashoga zibarikiwe.
Ungefanya la maana sana kama ungeshare hilo fundisho lilitoa agizo hili
 
Sasa hapa ndiyo umeuliza swali la msingi na ume quote kwa usahihi.
Ni kweli, Papa amesema Mashoga wabarikiwe, siyo mdoa, bali mashoga.
Lengo la kuwabariki ni kuwaweka karibu na kanisa badala ya kuwatenga. Kanisa halipaswi kuwatenga wadhambi bali linapaswa kuwakusanya ma kuwakumbatia. Maaba ya kubarikiwa.
Fundisho linasema yeyote anaweza akaomba baraka, katika utoaji wa baraka Padre anajua anachopaswa kufanya. Anawaweza akawabariki ili Mungu awaangazie waweze kuitambua kweli na kuiishi.

Je, kuna kosa kumuombea mdhambi au kumbariki mdhabi aweze kubadilika?
Ieleweke, hata iwe vipi, Padre hawezi akatoa baraka iliyo kinyume na mafundisho ya Mungu na Kanisa.
Mafundisho ya Kanisa juu ya ndoa yanajengwa katika Msingi wa Uumbaji. Ambapo Mungu alimuumbwa mwanaume, halafu akamuumba Mwanamke. Mafundisho na Sheria ya Kanisa havikuwahi kubadilishwa kuhusiana na ndoa. Hivyo basi padre hawezi akabariki ndoa ya watu wa jinsia moja. Siyo hao tu, Padre pia hawezi akabariki ndoa ambayo mwenzi ana matatizo ya akili, au ndoa ya ndugu wa damu.
Vyombo vya habari vinaruka ku report ufafanuzi unaotolewa, vyenyeww vinaenda kutengeneza taarifa ya kuonyesha kuwa Kanisa limeanza kupingana.

Nadhani nimejaribu kuelezea.
Kwa hiyo hayo mabaraza ya Poland, Ukraine, Majimbo ya USA nk yaliyojitokeza kupingana na waraka wa Papa, wao wanapinga nini?
 
Kwa hiyo hayo mabaraza ya Poland, Ukraine, Majimbo ya USA nk yaliyojitokeza kupingana na waraka wa Papa, wao wanapinga nini?
Taarifa iliyotafsiriwa na hivyo vyombo kuwa inapingana na Papa?
Kama Papa angeagiza ndoa za jinsia moja zibarikiwe basi mimi ningekuwa miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kupinga. Ninachojua hakuna fundisho wala agizo la namna hiyo.
Hayo Mabaraza yalichoeleza ni msimamo wa Kanisa, ambapo hata kwenye agizo la Papa lipo. Sasa wanapoelezea msimamo wa Kanisa ambao ni kinyume ya kile walichokitengeneza (vyombo vya habari) kutokana na agizo la Papa ni lazima ionekane kuwa wanampinga, wakati kiuhalisia wanafafanua na kuongelea kilekile alichokiongea.
 
Kataa ukatoliki

Ukatoliki ni ushoga
Ukatoliki ni ubaguzi
Ukatoliki ni ukafiri
Ukatoliki ni upapa nyangumi francis
 
Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China.

China kanisa katoliki la Vatican halina nguvu yoyote ya kuteua wala kutangaza majimbo ya kiutawala ya kanisa badala yake ni kanisa katoliki China likishirikiana na serikali ya China ndio wanasimika mapadri na maaskofu kwenye majimbo.

Kama Kanisa Katoliki Afrika ama majimbo/makoloni ya kanisa katoliki ya Afrika hawakubaliani na maagizo ya Papa, watumie fursa hii kujitoa na kujiendesha wenyewe independently na Vatican.

Vinginevyo tekelezeni maagizo ya baba mtakatifu papa Francis.
Ni ujinga wetu sisi wenyewe, sisi ni Waafrika na si Waislam wala Wakristu......tunajitakia ujinga tu kwa kuabudu miungu na mizimu ya watu wasio jamii yetu, inakuja kichwani kweli? Mwishowe baada ya kufilana tutaambiwa tuanze kuoa vitoto vidogo kama alivyokuwa anafanya Mohammed kwa kuoa kitoto Aisha na mke wa mwanawe.
 
Check ripoti ya mavuno kijimbo.
Hela ndogo sana kwa wakatoliki hii
Wewe umechangia bilioni ngapi hadi uwe na uhakika wa kupata hizo bilioni 80??
Kuna watu mna ubishi wa kindezi sana.
Endelea kubisha tena tukupe ushahidi mwingine.
Ubishi wako inaonekana hata mumeo/mkeo ameshakuchoka.
IMG_20231227_065540.jpg
 
Papa kimeo huyu.

Kwani angekaa kimya kungekuwa na madhara gani!?

Ananitafakatisha sana mimi mkristo wa Buza. Ambae ki ukweli
kanisani huwa nadokoa dokoa

almanusra nihamie kwa braza Gwajima
 
Back
Top Bottom