Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Mimi mpaka Leo sijawahi ona zile 10m kila kijiji licha ya kuzisubili kwa hamu hakika dhalimu alikuwa kiongozi wa wajinga
 
Zamani nilikuwa nakuelewa ila siku hizi huna tofauti na hao Maprofesa wa makinikia. You are no longer critical.
 
Basi sawa, sisi tuliozaliwa kuanzia mwaka 1987 tumejilipia shule hizo hizo na chuo kikuu pia tena pale pale UDSM.
Yes tulisoma naye Ilboru ilikuwa ni bure hadi nauli iliyokuleta unawasilisha risiti kwa School Basa unarudishiwa fedha zako. Siku ya kufunga shule unapewa warrant una safiri bure.

Chuo Kikuu, pia kasomeshwa bure LL.B , UDSM
P
 
Ni upuuzi kudhani kila kitu kinahitaji research. Hivi mtu akikuambia amekamata mwizi akiwa amebeba tani 1,000 za mchele kwenye bajaji, utahitaji kwenda kifanya research, kusema kuwa ni uwongo?

Zile report, ya Mruma na Osoro, zilikuwa ni takataka. Na hata wao ukiwauliza (sisi wengine ni watu wa karibu nao), wanakuambia wazi jinsi walivyolazimishwa kuandika upuuzi ule.

Yaani kodi inazidi thamani ya dhahabu yote iloyowahi kuchimbwa Tanzania, halafu bado unahitaji research kujua kuwa zile report zilikuwa takataka?
 
Punguza mihemko Mkuu,hiyo ni kanuni na ethics za Research, scientific research report inapingwa kwa kufanya utafiti wa kisayansi tena.
Nasisitiza inayoendelea ni mihemko tu,mpaka ije ripoti nyingine ndiyo utafiti ule utakanushwa lakini siyo kwa pambio na taarab nyingi.
 

Ile haikuwa research bali maagizo ya kisiasa kutokana na ulevi wa madaraka. Jitahidi kutenganisha research na maagizo yenye lengo la kisiasa.
 
Unaelewa misingi ya uchunguzi/research? Kilichofanywa na Mruma na team yake haikuwa research. Walifanya tu samples lab analysis tena kwenye maabara ambayo siyo acredited, lakini wakapata majibu kama yaliyokuwa presented kwenye export documents za Acacia. Wakaambiwa wabadilishe kwa sababu mkuu wa mchi amekwishwaaminisha wananchi kuwa tunaibiwa.

Ile haikuwa scientific research. Huwezi kusema unafanya research wakati ukiwa umeweka majibu tayari mezani, nasema majibu, siyo hypothesis.

Wewe unazungumzia kitu ambacho huna ufahammu nacho. Tulioona ecpirt documents za Barrick na lab results za maabara ya madini Dodoma, tunafahamu na tuna uhakika na tunachoongea.

Report ya Mruma iliyosomwa mbele ya vyombo vya habari kwa kadiri alivyoelekezwa na wasiojulikana, ulikuwa ni upuuzi mtupu ambao hata Prof. Mruma mwenyewe hakuutaka kabisa. Bahati mbaya hakuwa na chaguo jingine. Mpaka leo anajutia. Ni kati ya matukio ambayo hatayasahau maisha yake yote.
 
Wangelipa hata asilimia 20% ya deni lote japo kwa awamu, kulipa tsh. 0.7tril kati ya tsh. 400+trilion ni dharau au walitulisha propaganda hawa inzi wa kijani. Pumbafu.
Wametudharau sana hawa mabeberu
 
Mimi bado naamini ripoti za Wataalam akina prof Muruma ilikuwa sahihi.

Kosa lilikuwa kwenye aapproach ya kuzidai
 
Na hili andiko lako Ni News reporter's Rubbish.

Kuwa na PhD za "michongo" especially TZ na African countries, Ni nonsense. The so called Waziri wauchumi na fedha hajui Trab na Trat wakati yeye Ni mamlaka ya idara inayotumia hizo terms katika kukusanya hela ambazo yeye Ni "bosi" wa hizo hela. Halafu useme PhD takataka gani
Doctorial Rubbish
 
Umemaliza kazi. Asante
 
Payalla Ni takataka Kama zingine za Osoro and his rubbish friend so called professor!
 
Kwaiyo tumeshitakiwa MIGA kama madai ya Lissu alivyokuwa akituogepesha kuwa watatunyoa kwa vipande vya chupa pasipo kutumia maji?kweli ujinga hautaisha nchi hii.
Kings Ni wewe unayemuamini Magufuli mpàka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…