Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

Mbona kauli zake hajalalamika kuhujumiwa?

Ndio kwanza anawaruhusu wake delete?

Acha hizo!
 
Mitego gani hiyo unayoongea? Kuumiza, kuteka, kubaka, kulawitiwa na kuua ndiyo mambo mliyozoea, Nashangaa hawa JF wanawaruhusu kuongea upumbavu wenu. Acheni kuua, mwambieni na huyo Samia wenu aache kuiba pesa za watanganyika na aache kuua pia, wajinga ninyi.
 
Kwa tathimin yangu,toka ccm ilipo anzishwa 1964 mpaka hapa ilipo kwa ujumla ishaangamiza roho za watu wasiopungua milioni mbili.
 
Wala hata hakuna mtego uliowekwa, ni ujinga wa waliohusika. Kwani wangewakamata hao wanaharakati na kuwarudisha makwao kwa haraka ingekuwa ni habari ? Ukishindwa kutumia akili unaweza kuona kila mtu ni mbaya wako
Fact
 
Watakaothubu kushirikiana nao wavunjwe mbavu,hawana maana kuishi hapa Tanzania waende huko huko.
 
Mama anajiharibia mwenyewe kwa udikteta wake wa hovyo. Hivi nikuulize, hawa polisi wa Tanzania ni wauaji au siyo wauaji? Mtu unaita vijana wanne waje kituoni kwako na mpaka leo hawaonekani hata mmoja na hakuna chochote kile. Mdude yuko wapi? Hata kama anatukana si zipo njia za kisheria? Haya yule kijana kule Mbeya hana hata baya alilofanya. Alihukumiwa akatumikia adhabu kwa kulipa fine wakamchukua mpaka leo haonekani.

Vipi kuhusu padre Kitima? Vipi mzee Kibao. Achilia mbali mambo mengine yaliyoendelea.....Hii serikali haipo kwa ajili ya watanzania wote. Tunashukuru waliota mapembe wakavuka mipaka yao ya ukatili ili wajulikane. Hatuna urafiki nayo kamwe!
 
Unaongea as if mama is not in charge. Kiufupi, hajui kinachoendelea. Eti wanamuharibia?
Namshauri awekeze kwenye haki za raia wake. Aache dhulma na uonevu.
 
Unaumiza wananchi wako ukiambiwa unaita watu Mabeberu wake unakopa kwao?
 
Umeongea kwa utulivu sana mkuu ila tatizo kwa hapa tulipofikia hakuna namna tena yakuliokoa Taifa ,tushawekwa kati niswala la muda tu ili tujiandae kuanza upya .R.I.P Chama changu CCM.
 
Huyu mzanzibar akiangushwa Mimi nitafanya Sherehe kubwa sana,na hili lipo njani,keep calm,huyu mama hafai kuonewa na mtanganyika yeyote mpenda amani
 
Inasikitisha sana kwa hizi comments zinazoandikwa hapa. Yaani wengi hamjaelewa kabisa huu uzi mnaishia kukurupuka na kubwabwaja. Kwa akili hizi Tanzania bado ina safari ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ