Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
Huyo unayemtaka asaidie ndiye mentor wake. Yanayofanywa na Sa100 yana baraka za JK ambaye aliongoza ile muvi ya kumpitisha kinyume na Katiba pale Dodoma
 
Mama anaogelea kwenye kina kirefu sana ambacho hasta yeye kimemshinda kabisa!

Kuna baadhi ya mambo kama ilivyokua Kwa jpm hayana baraka zake lakini anakita yametokea TU,

Halafu nani anajua state of mind ya mama kama ipo sawa!!?
Nani anajua kama ana Imani na serikali yake yeye!!?

Nani anaamini kama mama anaaamini vetting ya uteuzi anayoletewa mezani!!?

Kifupi huyu mama amegeukwa na system baada ya kutofuata maagizo aliyopewa wakati anapewa kijiti!!

Ameshaishiwa nguvu ya kudhibiti serikali yake!!na hasa hapo mbele anapoenda kuvunja bungee na serikali Kwa ujumla atabaki kama mtu asiekua na mwelekeo wa Nini anafanya!!

Ushauri;-

Ajiuzulu,kupisha mwingine amalizie kabla hajaibika!!
 
Ukiwa huna akili basi unafikiri una akili kuliko wengine kumbe zero tupu, mnateka mnaua watu wanaodai uchaguzi huru na haki halafu mnasingizia wazungu, pumbaf sana
 
Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.

Kwa wale msiojua balaa la CIA nendeni mkachimbe kuhusu muungano wetu uliounda Tanzania. Huu muungano ni wa kupikwa na hao majamaa kutokana na tishio la Zanzibar kuangukia mikononi mwa wakomunisti. Pia someni kitabu cha Amos Malupenga kinachoitwa CONVERSATION WITH MEMORABLE PERSONALITIES, Page 62 - 76. Kwenye hizo page mwandishi alimhoji hayati Dr Kamoyo Mwale aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama Zambia. Dr Mwale anasema kuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi na kuachiwa kwa Mandela ilikuwa mipango ya CIA na sio kwamba weusi walishinda dhidi ya weupe. Ni CIA kwa maslahi yao waliamua. Lakini kabla ya Mandela kuachiwa makaburu waliweka sharti la hayati Kaunda kung'olewa madarakani kwa hofu kuwa ataungana na serikali mpya ya weusi kuwasulubu weupe. CIA kupitia Chiluba na vibaraka wengine walipiga fitina ya balaa na Kaunda akapoteza urais kupitia sanduku la kura mwaka 1991. Ikumbukwe hayati Nyerere alishang'atuka miaka 6 kabla (1985).

Dr Mwale anadai kuwa serikali ya Kaunda ni kama ilishatolewa madarakani miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi nikiangalia kinachoendelea nchini ni kama kuna watu wanatumika kumhujumu mama. Kwa mfano kulikuwa na haja gani ya kuwakamata wanaharakati na kuwapa kichapo kisha kuwatupa huko mipakani? Si wangewarudisha tu makwao kwa amani na kutoa tamko la kidiplomasia kuhusu kuwarudisha. Kilichofanyika kinamchafua mno mama badala ya kumng'arisha.

Kwa leo vyombo vyote vikubwa vya habari vya magharibi vinaandika kuhusu tamko la US. Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
uwezo wa anayeitwa mama ni mdogo sana, uwezo wake kiuongozi is questionable
 
..Raisi wa Tanzania ana madaraka makubwa anaweza hata kuwa anakula nyama za binadamu na hakuna mtu wa kumfanya chochote.

..vyombo vya dola vya Tanzania vinaenenda kulingana utashi, na maamrisho, ya amiri jeshi mkuu. kama kuna mambo ya hovyo vyombo vyetu vinafanya basi elewa kwamba Amiri Jeshi Mkuu ameruhusu.
 
Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.

Kwa wale msiojua balaa la CIA nendeni mkachimbe kuhusu muungano wetu uliounda Tanzania. Huu muungano ni wa kupikwa na hao majamaa kutokana na tishio la Zanzibar kuangukia mikononi mwa wakomunisti. Pia someni kitabu cha Amos Malupenga kinachoitwa CONVERSATION WITH MEMORABLE PERSONALITIES, Page 62 - 76. Kwenye hizo page mwandishi alimhoji hayati Dr Kamoyo Mwale aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama Zambia. Dr Mwale anasema kuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi na kuachiwa kwa Mandela ilikuwa mipango ya CIA na sio kwamba weusi walishinda dhidi ya weupe. Ni CIA kwa maslahi yao waliamua. Lakini kabla ya Mandela kuachiwa makaburu waliweka sharti la hayati Kaunda kung'olewa madarakani kwa hofu kuwa ataungana na serikali mpya ya weusi kuwasulubu weupe. CIA kupitia Chiluba na vibaraka wengine walipiga fitina ya balaa na Kaunda akapoteza urais kupitia sanduku la kura mwaka 1991. Ikumbukwe hayati Nyerere alishang'atuka miaka 6 kabla (1985).

Dr Mwale anadai kuwa serikali ya Kaunda ni kama ilishatolewa madarakani miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi nikiangalia kinachoendelea nchini ni kama kuna watu wanatumika kumhujumu mama. Kwa mfano kulikuwa na haja gani ya kuwakamata wanaharakati na kuwapa kichapo kisha kuwatupa huko mipakani? Si wangewarudisha tu makwao kwa amani na kutoa tamko la kidiplomasia kuhusu kuwarudisha. Kilichofanyika kinamchafua mno mama badala ya kumng'arisha.

Kwa leo vyombo vyote vikubwa vya habari vya magharibi vinaandika kuhusu tamko la US. Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
IMG_4861.jpeg
 
"Tujitahidi Kupunguza Ujuaji Kupita Kiasi,,Wakati Kiukweli Wengi Wetu Hakuna Tujualo......
 
Asa west wanahusikaje ni ujinga mnaoufanya nyie wenyewe,tukubali tu kuwa uwezo wa nahodha wetu kuongoza meli ni mdogo
 
System Ipi? Tanzania haijawahi kuwa na System, ila tuna walinzi wa jadi wa Mtawala wa CCM ambao wanamilikiwa na CCM na wanalipwa na Serikali.

Na ndiyo maana Katibu Mkuu wa CCM anaweza kuwakaripia na wakawa kimya hata kuwatuma kazi yoyote ila wakafanya na kurudisha report ya utekelezaji

Na ndiyo hao hao ambao baada ya Nchimbi kujichagua kuwa mgombea mwenza katika maamuzi feki - siku hiyo hiyo wakaanza kumlinda...

Nasema urongo? Kama unabisha nenda kwa nchimbi muda huu uone.
 
Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.

Kwa wale msiojua balaa la CIA nendeni mkachimbe kuhusu muungano wetu uliounda Tanzania. Huu muungano ni wa kupikwa na hao majamaa kutokana na tishio la Zanzibar kuangukia mikononi mwa wakomunisti. Pia someni kitabu cha Amos Malupenga kinachoitwa CONVERSATION WITH MEMORABLE PERSONALITIES, Page 62 - 76. Kwenye hizo page mwandishi alimhoji hayati Dr Kamoyo Mwale aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama Zambia. Dr Mwale anasema kuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi na kuachiwa kwa Mandela ilikuwa mipango ya CIA na sio kwamba weusi walishinda dhidi ya weupe. Ni CIA kwa maslahi yao waliamua. Lakini kabla ya Mandela kuachiwa makaburu waliweka sharti la hayati Kaunda kung'olewa madarakani kwa hofu kuwa ataungana na serikali mpya ya weusi kuwasulubu weupe. CIA kupitia Chiluba na vibaraka wengine walipiga fitina ya balaa na Kaunda akapoteza urais kupitia sanduku la kura mwaka 1991. Ikumbukwe hayati Nyerere alishang'atuka miaka 6 kabla (1985).

Dr Mwale anadai kuwa serikali ya Kaunda ni kama ilishatolewa madarakani miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi nikiangalia kinachoendelea nchini ni kama kuna watu wanatumika kumhujumu mama. Kwa mfano kulikuwa na haja gani ya kuwakamata wanaharakati na kuwapa kichapo kisha kuwatupa huko mipakani? Si wangewarudisha tu makwao kwa amani na kutoa tamko la kidiplomasia kuhusu kuwarudisha. Kilichofanyika kinamchafua mno mama badala ya kumng'arisha.

Kwa leo vyombo vyote vikubwa vya habari vya magharibi vinaandika kuhusu tamko la US. Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
Ccm ina wahuni na wanafiki wengi sana! Yeye analeta mipasho TU!
 
Acha Ufala wenu, hivi chawaccm nani kawaroga? Marekani na ujinga wenu wapi na wapi? Marekani ndiyo aliwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi ya uhaini chadema? Marekani ndiyo wamemwekea bilion IGP ili atumie kuwapiga kuwatesa kuwateka kuwanyanyasa chadema? Boniface mwangi kaja kama Mpenzi mtizamaji kwa kesi ya kishetani iliyotengenezwa na Polisiccm kwa Amri haramu toka chawaccm
 
Huo ni uongo, Marekani hana haja ya kumtuma Martha Karua akati simu yake moja tu jopo zima mnapanda ndege mnafuata Trump huko huko D.C...
Yaani wamtume Mwangi kuja kumchokoza kibaraka wao?
Polisiccm na chawaccm kuonea kuteka kuua kuwabambikia kesi chadema ndiyo chanzo cha wapigania haki kuja Tanzania siyo marekani
 
Huu uzi ni kwa watu wenye akili tu. Wewe haukuhusu.
Daah umeweza kumjibu jamaa kuwa hana akili ila wewe ndio una akili kweli bongo kiboko aisee ila mnapata wapi nguvu za kuandika haya mnayoandika mbona ni ukatili wa hali ya juu mnaupalilia kila kukicha..
 
Wala hata hakuna mtego uliowekwa, ni ujinga wa waliohusika. Kwani wangewakamata hao wanaharakati na kuwarudisha makwao kwa haraka ingekuwa ni habari ? Ukishindwa kutumia akili unaweza kuona kila mtu ni mbaya wako
Wakenya hawakupaswa kukamatwa kwani hawana kosa lolote, kuja kusikiliza kesi tu yaani Mpenzi mtizamaji kuna kosa gani hapo? Ujinga wa Polisiccm ndiyo umesababisha wageni kuonewa kwa kiwango cha kutisha
 
Huu uzi ni kwa watu wenye akili tu. Wewe haukuhusu.
Akili za kuvuta Bangi? Mwenye Akili Timamu anajua chanzo cha Aibu ya Tanzania ni Polisiccm kufanya vitendo haramu vya kishetani siyo marekani wala nani
 
Uonevu utekaji ukandamizaji wa demokrasia wa chawaccm na Polisiccm ndiyo sumu ya maendeleo Tanzania
 
Back
Top Bottom