muweza wa yote
Member
- Apr 6, 2025
- 44
- 47
Nimeishia pale palipoandikwa Tanzania ni ngumu kuingilika🤣🤣🤣
TUKWEPE NA MIKOPO YAO NG'OMBE KABISA.Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.
Kwa wale msiojua balaa la CIA nendeni mkachimbe kuhusu muungano wetu uliounda Tanzania. Huu muungano ni wa kupikwa na hao majamaa kutokana na tishio la Zanzibar kuangukia mikononi mwa wakomunisti. Pia someni kitabu cha Amos Malupenga kinachoitwa CONVERSATION WITH MEMORABLE PERSONALITIES, Page 62 - 76. Kwenye hizo page mwandishi alimhoji hayati Dr Kamoyo Mwale aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama Zambia. Dr Mwale anasema kuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi na kuachiwa kwa Mandela ilikuwa mipango ya CIA na sio kwamba weusi walishinda dhidi ya weupe. Ni CIA kwa maslahi yao waliamua. Lakini kabla ya Mandela kuachiwa makaburu waliweka sharti la hayati Kaunda kung'olewa madarakani kwa hofu kuwa ataungana na serikali mpya ya weusi kuwasulubu weupe. CIA kupitia Chiluba na vibaraka wengine walipiga fitina ya balaa na Kaunda akapoteza urais kupitia sanduku la kura mwaka 1991. Ikumbukwe hayati Nyerere alishang'atuka miaka 6 kabla (1985).
Dr Mwale anadai kuwa serikali ya Kaunda ni kama ilishatolewa madarakani miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi nikiangalia kinachoendelea nchini ni kama kuna watu wanatumika kumhujumu mama. Kwa mfano kulikuwa na haja gani ya kuwakamata wanaharakati na kuwapa kichapo kisha kuwatupa huko mipakani? Si wangewarudisha tu makwao kwa amani na kutoa tamko la kidiplomasia kuhusu kuwarudisha. Kilichofanyika kinamchafua mno mama badala ya kumng'arisha.
Kwa leo vyombo vyote vikubwa vya habari vya magharibi vinaandika kuhusu tamko la US. Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
Bilion 15 wameomba kwa ajili ya kuinua Chauma ubwabwa na kuidhoofisha chadema pesa za walipa kodi inatumika kwa mambo haramu ya kishetaniEti system yenyewe imezidiwa na M23 tu hapo Kongo.
System yenyewe imejaa unanijua mm nani ww? Icho wanaweza MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
Wamefanya nini kwani hadi ukwepe?TUKWEPE NA MIKOPO YAO NG'OMBE KABISA.
Sumu ya maendeleo Tanzania ni Polisiccm na chawaccm ni watu wa hovyo sanaMitego gani hiyo unayoongea? Kuumiza, kuteka, kubaka, kulawitiwa na kuua ndiyo mambo mliyozoea, Nashangaa hawa JF wanawaruhusu kuongea upumbavu wenu. Acheni kuua, mwambieni na huyo Samia wenu aache kuiba pesa za watanganyika na aache kuua pia, wajinga ninyi.
Adui wa Taifa na Sumu wa Nchi ni Polisiccm kwa matendo yao haramu ya kishetaniUkiwa huna akili basi unafikiri una akili kuliko wengine kumbe zero tupu, mnateka mnaua watu wanaodai uchaguzi huru na haki halafu mnasingizia wazungu, pumbaf sana
Halafu huyo huyo "Labda mambo yaharibike sana"Huyo Jakaya umwambii kitu kuhusu Samia, ule mpango wa kumpitisha chamani kama mgombea kabla ya muda ni yeye ndo master mind
Ila west wawe na huru jaman wamrudishe mdudeKwa hiyo West ndo wamemteka na kumuua Mdude?
Kwa hiyo West ndo wamemteka na kumpoteza yule kijana aliyechoma picha ya Rais Chaula?
Kwa hiyo West ndo walimteka na kumuua Mzee Kibao?
Kwa hiyo West ndo walimteka na kuwapoteza Deonis Kipanya, Deus Soka, Amani Manengelo na wengineo?
Kwa hiyo West ndo wamewaambia mchote Bilioni 26 kodi za wananchi masikini wa Tanzania na wagawane Mtoto wa Rais Katibu wa Rais, Kikwete na Lugumi?
Kwa hiyo West ndo wamewaambia mchote bilioni 15 kodi za Wananchi masikini wa Tanzania na muende kufanya kazi maalum huko TISS ya kuwahonga Chaumma ili kuisambaratisha Chadema na CCM iendelee kuliangamiza hili Taifa?
Hizo propaganda zenu na kipuuzi mpeane huko huko CCM sio kwenye majukwaa ya watu wenye akili humu.
Pumbaf.
Mkuu ile ni taasisi kubwa duniani! Huwezi kuishughulikia kirahisi kama CCM na serikali yake inavyoshughulikia vyama vya Upinzani.CIA sio wa kuchekewa. Vyombo vya usalama vishughulike nao.
Soma kwa kuelewa.Wamefanya nini kwani hadi ukwepe?
Polisiccm alitumwa na marekani kufanya mambo ya hovyo?
ShitWakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.
Kwa wale msiojua balaa la CIA nendeni mkachimbe kuhusu muungano wetu uliounda Tanzania. Huu muungano ni wa kupikwa na hao majamaa kutokana na tishio la Zanzibar kuangukia mikononi mwa wakomunisti. Pia someni kitabu cha Amos Malupenga kinachoitwa CONVERSATION WITH MEMORABLE PERSONALITIES, Page 62 - 76. Kwenye hizo page mwandishi alimhoji hayati Dr Kamoyo Mwale aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama Zambia. Dr Mwale anasema kuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi na kuachiwa kwa Mandela ilikuwa mipango ya CIA na sio kwamba weusi walishinda dhidi ya weupe. Ni CIA kwa maslahi yao waliamua. Lakini kabla ya Mandela kuachiwa makaburu waliweka sharti la hayati Kaunda kung'olewa madarakani kwa hofu kuwa ataungana na serikali mpya ya weusi kuwasulubu weupe. CIA kupitia Chiluba na vibaraka wengine walipiga fitina ya balaa na Kaunda akapoteza urais kupitia sanduku la kura mwaka 1991. Ikumbukwe hayati Nyerere alishang'atuka miaka 6 kabla (1985).
Dr Mwale anadai kuwa serikali ya Kaunda ni kama ilishatolewa madarakani miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi nikiangalia kinachoendelea nchini ni kama kuna watu wanatumika kumhujumu mama. Kwa mfano kulikuwa na haja gani ya kuwakamata wanaharakati na kuwapa kichapo kisha kuwatupa huko mipakani? Si wangewarudisha tu makwao kwa amani na kutoa tamko la kidiplomasia kuhusu kuwarudisha. Kilichofanyika kinamchafua mno mama badala ya kumng'arisha.
Kwa leo vyombo vyote vikubwa vya habari vya magharibi vinaandika kuhusu tamko la US. Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
Na we unajita mwenye akili? Bwege tuKwa hiyo West ndo wamemteka na kumuua Mdude?
Kwa hiyo West ndo wamemteka na kumpoteza yule kijana aliyechoma picha ya Rais Chaula?
Kwa hiyo West ndo walimteka na kumuua Mzee Kibao?
Kwa hiyo West ndo walimteka na kuwapoteza Deonis Kipanya, Deus Soka, Amani Manengelo na wengineo?
Kwa hiyo West ndo wamewaambia mchote Bilioni 26 kodi za wananchi masikini wa Tanzania na wagawane Mtoto wa Rais Katibu wa Rais, Kikwete na Lugumi?
Kwa hiyo West ndo wamewaambia mchote bilioni 15 kodi za Wananchi masikini wa Tanzania na muende kufanya kazi maalum huko TISS ya kuwahonga Chaumma ili kuisambaratisha Chadema na CCM iendelee kuliangamiza hili Taifa?
Hizo propaganda zenu na kipuuzi mpeane huko huko CCM sio kwenye majukwaa ya watu wenye akili humu.
Pumbaf.
Eti wahuni wanamwaribia mama, mama anajua kila kinachoendekea na ndivyo anavyotaka maana anaamini kuwa hii itawatisha wapinzani na wananchi na atapata nafuu ya kutokufuatiliwa na watu kuhusu uchafu wake, wizi wake mkubwa sana anaoufanya, na uovu wake mwingine. Na wala tusizunguke wanaofanya haya ni polisi, TISS na inajulikana wazi sana.Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.
Kwa wale msiojua balaa la CIA nendeni mkachimbe kuhusu muungano wetu uliounda Tanzania. Huu muungano ni wa kupikwa na hao majamaa kutokana na tishio la Zanzibar kuangukia mikononi mwa wakomunisti. Pia someni kitabu cha Amos Malupenga kinachoitwa CONVERSATION WITH MEMORABLE PERSONALITIES, Page 62 - 76. Kwenye hizo page mwandishi alimhoji hayati Dr Kamoyo Mwale aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama Zambia. Dr Mwale anasema kuwa mwisho wa ubaguzi wa rangi na kuachiwa kwa Mandela ilikuwa mipango ya CIA na sio kwamba weusi walishinda dhidi ya weupe. Ni CIA kwa maslahi yao waliamua. Lakini kabla ya Mandela kuachiwa makaburu waliweka sharti la hayati Kaunda kung'olewa madarakani kwa hofu kuwa ataungana na serikali mpya ya weusi kuwasulubu weupe. CIA kupitia Chiluba na vibaraka wengine walipiga fitina ya balaa na Kaunda akapoteza urais kupitia sanduku la kura mwaka 1991. Ikumbukwe hayati Nyerere alishang'atuka miaka 6 kabla (1985).
Dr Mwale anadai kuwa serikali ya Kaunda ni kama ilishatolewa madarakani miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi nikiangalia kinachoendelea nchini ni kama kuna watu wanatumika kumhujumu mama. Kwa mfano kulikuwa na haja gani ya kuwakamata wanaharakati na kuwapa kichapo kisha kuwatupa huko mipakani? Si wangewarudisha tu makwao kwa amani na kutoa tamko la kidiplomasia kuhusu kuwarudisha. Kilichofanyika kinamchafua mno mama badala ya kumng'arisha.
Kwa leo vyombo vyote vikubwa vya habari vya magharibi vinaandika kuhusu tamko la US. Dr Jakaya na manguli wengine wa diplomasia ingilieni kati kuhusu hawa wahuni wanaomharibia Mama kwa kupiga, kuteka na kupoteza watu. Hakuna faida yoyote kwa nchi kupitia hayo matendo ya kihuni.
Huyo jamaa ana mihemko.Ata hajasoma akaelewa hoja yako kakimbilia kukoment.Huu uzi ni kwa watu wenye akili tu. Wewe haukuhusu.
Huyu sa100 mwenyewe ulishawahi kusikia lini kakemea utekaji unaondelea nchi hii.Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US imetoa tamko la kutaka uchunguzi ufanyike. Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ngumu kuingilika ila kwa hali ilivyo inabidi kazi kubwa ifanyike kukwepa hii mishale.