Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

Kwa sasa hatuwezi kuwakwepa TUMESHACHELEWA sana. Ni bora kuishi nao kinafiki.
Kwamba Agatha, Mwangi na Karua wangefika na kukaa pale Kisutu kusikiliza kesi wangepindua nchi? Au ndugu Lissu asingeaingiziwa kesi na kukamatwa hao uliyowataja wangefika Tanzania?

Hivi Tanzania ni threats kwa Marekani? Tanzania hii isiyokuwa na kichwa wala mkia?
 
Hujaelewa kabisa huu uzi.
 
Huyu mtoa mada hamjamuelewa tu. Yupo upande wenu kupinga hizi changamoto, sema anatumia kuzunguka mbuyu hataki kunyooka. Anaogopa senturo
Kweli Mtoa mada nadhani anazungumzia walivyochemka kijani kwa kuhemka kuwaumiza wanaharakati!
 
Kwani mngelimwacha akasikiliza kesi halafu akaenda zake hayo yangelitokea? Au mlivyomzuia na wengine kuwapiga mlifikiri watu wTakaa kimya?
 
Chai ya tangawizi na mihogo jioni ya pale moshi mjini kwa wasomali
 
Huu uzi ni kwa watu wenye akili tu. Wewe haukuhusu.
Unamhusu, jibu maswali hayo tafadhali...

Kwanini unapaniki in very earlier stage za mjadala..?

Kukwepa mvua ya mashambulizi toka ndani na nje ya nchi ni hiyo unayoiita "system" kufanya kazi ipasayo kufanywa na wao kuliokoa taifa na nchi hii kwa kufanya mawili tu yafuatayo:

1. Wamwambie huyu mama kuwa enough is enough, you can't be the president of this great nation anymore. Pumzika mama, yatosha...!

2. Serikali iandae haraka iwezekanavyo miswaada ya sheria kwa kufanya mabadiliko ya kikatiba na kisheria ili kuruhusu mifumo huru ya kusimamia chaguzi zetu..

Vinginevyo, tutamzika huyu mama yenu si muda mrefu ili kupisha mtu sahihi wa kusimamia mabadiliko haya...!!
 

Hizo propaganda zenu na kipuuzi mpeane huko huko CCM sio kwenye majukwaa ya watu wenye akili humu.

Pumbaf.
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana hapo mwisho
 
Nasisitiza huu uzi ni kwa wenye akili tu. Hauwahusu vilaza.
 
Huyo Jakaya umwambii kitu kuhusu Samia, ule mpango wa kumpitisha chamani kama mgombea kabla ya muda ni yeye ndo master mind
 
Akikujibu ni tag
 
Sikieni sauti za kufanya reforms kuepuka hayo yote nyakati zimebadilika sisiemu lazima ife ili izaliwe upya kwa namna ya tofauti hili dude la sasa lililofungamana na dola haliwezi kuendana na dunia ya sasa yabutandawazi kwakua sisi bado niwategemezi hatujafikia level za kina Korea,Urusi au Uchina
 
Wala hata hakuna mtego uliowekwa, ni ujinga wa waliohusika. Kwani wangewakamata hao wanaharakati na kuwarudisha makwao kwa haraka ingekuwa ni habari ? Ukishindwa kutumia akili unaweza kuona kila mtu ni mbaya wako
Ni mkakati wa kumuharibia angeachana na TL ni maji alimshindwa marehemu atamuweza akiwa hai?
 
Reforms are necessary by hook or by crook

Bila marekebisho ya sheria na kuifuta mifumo kandamizi hatuta songa mbele
 
Huwezi, kujikinga wakubwa wakitaka kukuondoa, kama mifumo yetu imeweza kudukuliwa na vijana wadogo tu wasio na dhana za kisasa, fikiria, hackers wa CIA, Mossad, scotlandyard,FSB wakiamua kutufungia kazi! Ccm wao ni kula na kujamba tu, hawana cha maaana, wanachofanyia hii nchi, kila kitu kimewashinda, kuondoka, hawataki, na, wanaogopa, wataishi, vipi, hawa, hawawezi, kuwaza mustakabali wa nchi, kuanzia majaji, polisi, jeshini, Mashirika ya umma, waandamizi wanashindana kuiba, kununua ardhi, kujenga ma hotel, nk,
USA, ikitaka, kumuondoa, Samia, ni, dk moja tu, angalia USA, ilivyoweza kufukuza, majeshi, ya SADC, EA, Rwanda, kutoka Congo! Sasa hv M23 ni, kama, wamepewa ruhusa, ya kuanzia have, nchi ndani ya, nchi,
SADC, Africa kusini, TZ, Rwanda wote walikuwa wanaiba Congo, Anko Sam akatoa kauli ondoka wote, Congo kalazimishwa, aingie mkataba na USA, apewe ulinzi, atoe madini kwa kampuni za, USA! Usicheze na Anko Sam,
Ndani ya, polisi, Jeshi, Ikulu, wapo watu wa CIA, wakiwa activated hawa, Samia is, dead meat!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…