Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

TUKWEPE NA MIKOPO YAO NG'OMBE KABISA.
 
Eti system yenyewe imezidiwa na M23 tu hapo Kongo.
System yenyewe imejaa unanijua mm nani ww? Icho wanaweza MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
Bilion 15 wameomba kwa ajili ya kuinua Chauma ubwabwa na kuidhoofisha chadema pesa za walipa kodi inatumika kwa mambo haramu ya kishetani
 
Mbowe na makala wameshiba 10% ya mgao udalali wa uuzaji G55 kwa chauma ubwabwa a k a Chaumaccm, haya nayo yanafanywa na marekani?
 
Sumu ya maendeleo Tanzania ni Polisiccm na chawaccm ni watu wa hovyo sana
 
Ukiwa huna akili basi unafikiri una akili kuliko wengine kumbe zero tupu, mnateka mnaua watu wanaodai uchaguzi huru na haki halafu mnasingizia wazungu, pumbaf sana
Adui wa Taifa na Sumu wa Nchi ni Polisiccm kwa matendo yao haramu ya kishetani
 
Ila west wawe na huru jaman wamrudishe mdude
 
Shit
 
Uzalendo pia ni kun'gamua, mabaya ya mbele ambayo yanaweza kuhatarisha usalama wa nchi.

yamkini ni kweli, kama watawala wanashindwa kuliona la sasa kisa maslahi yao binafsi, ni dhahiri maadui watatumia mapungufu yetu, kuingiza kirahisi agenda zao machafuko dhidi yetu
 
Na we unajita mwenye akili? Bwege tu
 
Eti wahuni wanamwaribia mama, mama anajua kila kinachoendekea na ndivyo anavyotaka maana anaamini kuwa hii itawatisha wapinzani na wananchi na atapata nafuu ya kutokufuatiliwa na watu kuhusu uchafu wake, wizi wake mkubwa sana anaoufanya, na uovu wake mwingine. Na wala tusizunguke wanaofanya haya ni polisi, TISS na inajulikana wazi sana.
Mama wala haujumiwi na yeyote ni mtu ambaye anatumia mifumo iliyopo kutaka kubakia madarakani kwa nguvu maana anajua akitoka tu uchafu wake wote utakuwa hadharani.
Mifumo inatii anachokitaka iwe ni kuua, kuumiza, kuiba, n.k.
Na ndiyo maana sasa wenye hofu ya Mungu walichobakia kufanya ni kuvujisha taarifa za uovu.
Mama hasikitikii, mauwaji, wizi, ufisadi, ndiyo kwanza anayatetea hadharani na anasifia wizi, uuwaji, na kila uchafu na kutoa mipasho huku akiwa hana hata soni.
 
Propaganda za kitoto zilizopitwa na wakati
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha, lenye mwanzo lina mwisho. Kama na huu ndio mwisho wa ccm na wote tuseme iwe hivyo
 
Huyu sa100 mwenyewe ulishawahi kusikia lini kakemea utekaji unaondelea nchi hii.

Hata kuona bunge linaunda kamati ya kuchunguza mambo haya ya utekaji,wote wamekaa kimya kumaanisha wanaunga mkono utekaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…