Jamani kuna huu wimbo, ni wakitambo hvi.. Miaka kama 2007,2008 ilibamba sana.. So naomba jina
la wimbo na wasanii waloimba, maana yupo Boy na girl..
Nafahamu kiitikio tu cha huyo girl
"Mwenzio naogopa.. Naogopa nitajikata mie.. Huuuuu uuuuumama"
Jamani, hz ni fani za watu me siwezi kuimba ila nadhan mtakuwa mumeupatapata huo wimbo..
 
Sio ile ya "mtoto wa jakaya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…