rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Kuna jamaa anaimba "Nimemfukuza mpenzi wangu eti kwasababu ya binti, nimemfukuza wangu moyo eti kwasababu ya binti.." msaada iyo ngoma wakuu
Hip hop sahihi.....nazan ni ile ya aliyekuwa demu wa marehem Complex ambaye walikufa wote kweny ajali..
Vivi feat Ay-umuhimu
Ay kwenye chorus anaimba "hip hop sa ipo hewani/
Hip hop sa ipo hewan/
Hakuna shuka chini inapobidi juu kwa juu/
Umuhimu wetu ubaki na tuzidi kuwa juu/
Sijui km nmepatia ila nazan ndio huo
Mwenye ngoma ya Salu T na Ay-chunga sana....atupie hapa wazee
Mandojo na domokaya inaitwa Nizikwe hai
Vivian huyo na Ay..Kuna goma lilikua linaitwa Msafiri la kitambo sijui nani kaimba ile, mwenyenayo tafadhari
Sugu - hayakua mapenzi
Na kuna goma walikua wanaimba "Hip hop sahihi ...." sikumbuku ni ya nani?
Salu T na Ay-chunga
Natafuta wimbo unaitwa KANDELE (kabinti) jamaa walioimba siwajui ila wameimba kwa lugha ya kizigua na kisambaa!Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Shukrani mkuu ila hiyo ngoma inahitajika sana aiseeVivian huyo na Ay..
Aliimba pia Siwaelewi na Dully
Shukrani mkuu ila hiyo ngoma inahitajika sana aisee
Natafuta wimbo unaitwa KANDELE (kabinti)
Kitu kama humo ndani wanasema "Ni mizinga na Nako"?Ipo inaitwa Machafuko...n2n feat kikosi
Sawa broSidhan bro,,sijawasikia hii kitu
Hakika mkuu hilo hilo dude yani daah. Shukrani sanaHip hop sahihi.....nazan ni ile ya aliyekuwa demu wa marehem Complex ambaye walikufa wote kweny ajali..
Vivi feat Ay-umuhimu
Ay kwenye chorus anaimba "hip hop sa ipo hewani/
Hip hop sa ipo hewan/
Hakuna shuka chini inapobidi juu kwa juu/
Umuhimu wetu ubaki na tuzidi kuwa juu/
Sijui km nmepatia ila nazan ndio huo