Mmeakaje wakuu naomba wa bendi fulani aina ya zouk wimbo siukumbuki jina ila unamashairi jamaa kama anamuimbia huyo mwanamke walikutana majira ya jioni sasa anamwimbia "jina lako nani mbona huko haoa unaishi wapi, na unamsubiri nani, alichonijibu dada huyu kwa kweli kinasikitisha sana ni upweke,unaomsumbua"
 
Kuna wimbo ht siujui jina watu wanaimba harafu wanaanguka chini.
 
Gwankaja nikirudi kutoka katika mashimo ya mfalme suleimaan sintakusahau na huyu bwana mkuu kioo.
Niombeeni dua nirudi salama.

Usiwe na wasiwasi aisee tuko pamoja bro.

Tunakutakia safari njema kiongozi uende salama na urudi salama pia mkuu.

Thanks a lot.
 
Siyo kwaya ya mabibo hiyo kweli
 

Attachments

Asee wakuu hili jukwaa ni msaada tosha kwetu ss wahenga wa middle age...
Naombe mwenye wimbo unaimbwaga hivi...
NIMEKUFANANISHA WE DADA
NIMEKUFANANISHA WE SISTER
NDIO MAANA MM NIMEKUITA..
Mkuu ukiupata huo wimbo nshtue na mm...
kuongezew ni kwamba aliyeimba ni Top C... ambaye baadaye alikuja kuimba lofa...

Huu na mm nimeutafuta kwa miaka mingi...
 
 

Attachments

Habari wakuu #TeamBajuda na wakuu wote hapa ndani.

Hii ngoma ya
1. CHINDO MAN_MBWA MZEE NDO ANABWEKA WOO WOO...

tafadhali naiyomba wakuu.
Shukrani #TeamBajuda
 
Habari wakuu kuna wimbo mmoja nautafuta sana sijui umeimbwa na nani kiitikio chake kiko hivi

Niko radhi nianguke kwa magoti iiiiii ninahaki ya kujua kosa langu mimi nije niombe samahani
zikateni mikononi mwangu pingu uuuu
 
Habari wakuu kuna wimbo mmoja nautafuta sana sijui umeimbwa na nani kiitikio chake kiko hivi

Niko radhi nianguke kwa magoti iiiiii ninahaki ya kujua kosa langu mimi nije niombe samahani
zikateni mikononi mwangu pingu uuuu
Jerome-Wazazi
 
Jaman nisaidien na mm nipate tunyimbo twangu.... Naomben mwenye nyimbo ya nemo baby sema, pia nyimbo zote za rah p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…