Wakuu
gwankaja KIOO na mkuu
Idimi naomba niangalizieni hizi ngoma,sina uhakika sana kama zimeshawekwa hapa jukwaani maana kote nilikopita huko juu sijapata kuziona[emoji116][emoji116][emoji116]
Kicheko tu LWP.
Hatari Kitu Gani Zay B.
Tumbo Deni la Dunia Uswahilini Matola.
Mwanangu Huna Nidhamu Dudubaya Konki.
Mc Katuni Solo Theng.
Tunajirusha Inspector Haroun&Nazizi.
Tupo Kamili Mabaga Fresh.
Tuwe na Adhabu Gani juu ya hawa Wanaoturoga Juma nature ft.......
Barua Daz Nundaz.
Mtoto wa Gate Kali Inspector Haroun.
Mtoto Iddi J Nature.
We Ndo Mchizi Wangu N2N.
Hawatuwezi N2N.
Tunawapiga Bao N2N{hii ni diss song kwa Kikosi Cha Mizinga}.
Sister Sister GK.
Wanakuita Sugu Mr II ft Stara.
Watu Kibao,hii inazungumzia wingi wa vitu na watu jamaa jina lao limenitoka.
Wauguzi Wagosi Wa Kaya.
Starehe Ni Gharama LWP Majitu ft Mr Paul.
Bishoo Jay Mo
Mvua na Jua Jay Mo
Wachuja Nafaka Doro,KR,Nature.
Ingekuwa Vipi Mwana FA ft Jay Mo
Nasikia Utamu/Hausikii Utamu,jamaa flani hivi nahisi wakenya mmoja anaimba sauti nyembamba mwengine kwa sauti nzito.
Thanks in advance wazee.