Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Mkuu kama unao huu wimbo naomba uuweke hapa nimeutafuta sana bila mafanikio [emoji120]Jerome-Wazazi
Huu hapa.Habari wakuu kuna wimbo mmoja nautafuta sana sijui umeimbwa na nani kiitikio chake kiko hivi
Niko radhi nianguke kwa magoti iiiiii ninahaki ya kujua kosa langu mimi nije niombe samahani
zikateni mikononi mwangu pingu uuuu
I see. Watu mna kumbukumbuJaman nisaidien na mm nipate tunyimbo twangu.... Naomben mwenye nyimbo ya nemo baby sema, pia nyimbo zote za rah p
Huu hapa.ITIKADI-ECT TEAM
Daaah shukrani sana mkuu kwa msaada wakoHuu hapa.
Jerome -
Mkuu, umeamua ku exhaust library nzima? Duh. Unatumalizia bundle. Hakikisha unanirudishia bundle langu inbox haraha sana.Wakuu gwankaja KIOO na mkuu Idimi naomba niangalizieni hizi ngoma,sina uhakika sana kama zimeshawekwa hapa jukwaani maana kote nilikopita huko juu sijapata kuziona[emoji116][emoji116][emoji116]
Kicheko tu LWP.
Hatari Kitu Gani Zay B.
Tumbo Deni la Dunia Uswahilini Matola.
Mwanangu Huna Nidhamu Dudubaya Konki.
Mc Katuni Solo Theng.
Tunajirusha Inspector Haroun&Nazizi.
Tupo Kamili Mabaga Fresh.
Tuwe na Adhabu Gani juu ya hawa Wanaoturoga Juma nature ft.......
Barua Daz Nundaz.
Mtoto wa Gate Kali Inspector Haroun.
Mtoto Iddi J Nature.
We Ndo Mchizi Wangu N2N.
Hawatuwezi N2N.
Tunawapiga Bao N2N{hii ni diss song kwa Kikosi Cha Mizinga}.
Sister Sister GK.
Wanakuita Sugu Mr II ft Stara.
Watu Kibao,hii inazungumzia wingi wa vitu na watu jamaa jina lao limenitoka.
Wauguzi Wagosi Wa Kaya.
Starehe Ni Gharama LWP Majitu ft Mr Paul.
Bishoo Jay Mo
Mvua na Jua Jay Mo
Wachuja Nafaka Doro,KR,Nature.
Ingekuwa Vipi Mwana FA ft Jay Mo
Nasikia Utamu/Hausikii Utamu,jamaa flani hivi nahisi wakenya mmoja anaimba sauti nyembamba mwengine kwa sauti nzito.
Thanks in advance wazee.
Hahaha mkuu usiwaze utanirushia No yako PM nikuangalizie salio kidogo,mnachokifanya hapa kama ni pepo basi mmeshaipata wakuu.Mkuu, umeamua ku exhaust library nzima? Duh. Unatumalizia bundle. Hakikisha unanirudishia bundle langu inbox haraha sana.
Wakuu huu wimbo ninao kwenye CD nimefanya kuu-record kidogo tatizo hausikiki vizuri naomba mnipe hints jinsi nitakavyoweza kuweka kipande nilichokirekodi hapa jukwaani au niwarushie PM.
Pamoja sana kamanda, ingawa sijaweka zooote ulizoomba. Nadhani zilizobaki wata upload wenzangu! Ila imekula bandoHahaha mkuu usiwaze utanirushia No yako PM nikuangalizie salio kidogo,mnachokifanya hapa kama ni pepo basi mmeshaipata wakuu.
Shukrani sana.
Amina mkuu....Pamoja sana kamanda, ingawa sijaweka zooote ulizoomba. Nadhani zilizobaki wata upload wenzangu! Ila imekula bando
ππππ kidding bro.Amina mkuu....
Usiwaze kaka unatumia mtandao gani nirudishe japo nusu hasara?
Bab kubwa mzee.ππππ kidding bro.
Sharing is caring! Uwe na amani
Safi bro dah!