BENDERA YA TANZANIA
Bendera ya Tanzania,ndiyo ya kujivunia
Ilianza kupepea, mwaka sitini na moja
Hapo inashuhudiwa, tunavyojitegemea
MUUMBA wetu Rabuka ijaze yako fanaka
Rangi yachanikiwiti,Yaonesha mbuga zetu
Manjano ndiyo madini,Yaliyo uchumi wetu
Bluu huonesha maji yaliyo nchini mwetu
Nyeusi Ni yetu sisi,Waafrika asilia
MUUMBA wetu Rabuka ijaze yako fanaka
Wadau natafuta nyimbo ya Mandojo na Domokaya- Dingi
Huu hapa. EnjoyJamani ...natafuta wimbo kaimba renelee ramila....unaitwa fitina kama sikosei...nimehangaika kuutafuta kila nikidownload napata taarabu2 ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Reminder GuysKuna wimbo wa Marehemu Mr. Ebbo unaitwa Nakupenda.
Miongoni kwa Lyrics za wimbo huo ni "neno nakupenda umeshalisikia sana..."
Huu wimbo ameimba tofauti kabisa na style ya zile nyimbo zake nyngne
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani hivi huyu jamaa hajawahi kutoa ngoma nyingine aisee. Mi niliiskia hii G tu kama una ngoma yake nyingine naomba kiongozi. Thanks.
Zipi hizo mkuu?
Nipeni hii nyimbo Nicole Scherzinger ft 50 Cent Right There Extended(Intro)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu wimbo ushawekwa humu, we angalia thread za zamani utaupataNimeusaka sana wimbo wa Kapteni John Komba "MGENI". Unazungumzia ugonjwa wa UKIMWI.
Atakayeweza kunipatia huo wimbo namtumia shilingi elfu 10 cash.
Sababu Bomba - Complain ft Dully Sykes
Aisee ubarikiwe sana mkuuAnza na hizi. Huo wa mapwilipwiti ninao, ila sijajua uko sehemu gani, maana nina msitu wa nyimzo za kwaito, mpaka nipekua sana. Ila nakuwekea nikupata