Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
BENDERA YA TANZANIA

Bendera ya Tanzania,ndiyo ya kujivunia
Ilianza kupepea, mwaka sitini na moja
Hapo inashuhudiwa, tunavyojitegemea
MUUMBA wetu Rabuka ijaze yako fanaka

Rangi yachanikiwiti,Yaonesha mbuga zetu
Manjano ndiyo madini,Yaliyo uchumi wetu
Bluu huonesha maji yaliyo nchini mwetu
Nyeusi Ni yetu sisi,Waafrika asilia
MUUMBA wetu Rabuka ijaze yako fanaka

audio please
 
Wadau natafuta nyimbo ya Mandojo na Domokaya- Dingi

Chorus ya hii ngoma nikiiskilizaga sikio langu linahamia kwenye bridge ya wimbo wa Shaggy feat Natasha unaitwa Ultimatum sjui kwa nini. Sasa sjui ni sikio langu tu au ni vipi....?
 
Attachments

Mkuu samahani hivi huyu jamaa hajawahi kutoa ngoma nyingine aisee. Mi niliiskia hii G tu kama una ngoma yake nyingine naomba kiongozi. Thanks.

Zipo ambazo amefanya peke ake nyingine amefanya na washkaji.

Niliyonayo hapa ni moja tu nyingine siko nazo aisee.
 
Attachments

Mkuu KIOO gwankaja na Idimi kuna nyimbo mbili za kwaito nazitafuta sana ila sijui waimbaji
(1)Kuna moja unaimbwa ""pwili mbwilipwizi" umeimbwa na madogo Fulani hivi
(2) na mwingine unaimbwa "hai hai hai" ni hivyo tu, tafadhalini sana nisaidieni hizo nyundo.

Smart guy
 
Kuna wimbo kipindi cha miaka ya 2006 ulikua unapigwa sana PULSE TV ambayo kwa sasa ndio inaitwa CAPITAL TV ulikua unaimba"Shima sogea sogea karibu nami nikushike wapi ili wanga wasitu gasigasi"

Nimeutafuta sana sijawahi kuupata waungwana,msaaada kwny tuta.
 
Mkuu KIOO gwankaja na Idimi kuna nyimbo mbili za kwaito nazitafuta sana ila sijui waimbaji
(1)Kuna moja unaimbwa ""pwili mbwilipwizi" umeimbwa na madogo Fulani hivi
(2) na mwingine unaimbwa "hai hai hai" ni hivyo tu, tafadhalini sana nisaidieni hizo nyundo.

Smart guy

Anza na hizi. Huo wa mapwilipwiti ninao, ila sijajua uko sehemu gani, maana nina msitu wa nyimzo za kwaito, mpaka nipekua sana. Ila nakuwekea nikupata
 
Attachments

Anza na hizi. Huo wa mapwilipwiti ninao, ila sijajua uko sehemu gani, maana nina msitu wa nyimzo za kwaito, mpaka nipekua sana. Ila nakuwekea nikupata
Aisee ubarikiwe sana mkuu

Smart guy
 
Back
Top Bottom