Haya. Naanza na hizi. Enjoy
Raha ya hizi nyimbo, ukijua jina la msanii unaturahishia kazi.
Phillibert kabago ft chelea man and keysha mama miaWakuu naomba wimbo Wa Jamaa mmoja Wa Mwanza anaitwa Kabago wimbo unaitwa Mama mia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau wa oldsongs natafta sana hizi nyimbo
0.Bob Marley ft lauryn hill-Goodlove
1.TMK majita-Tunadatisha
2.Dudu baya-Kaza Buti
3.Bamboo-(wanaimba,nilimkoseaa sasa amepotea hee yaheyahee nisamehee)
4.Nyimbo ya clouds-shangwe za kila mwaka
5.Necessary noise-Kenyan boy
6.Na intro ya Professor jay-Jina langu(huwa kanaimba katoto alaf kanakohoa)
Natanguliza shukrani[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupa mawe.. Tupa mawe...
Mkuu itakuwa na wewe ni mfupi kupitiliza[emoji4][emoji4]Kuna wimbo ulikuwa unaonyesha kipindi hichoo TV ya c2c wasanii wenyewe wafupiii ulikuwa unaimbwa hivi "huu ufupi kweli wee huu ufupi unanipa tabu" kuna sehemu anasema alipada demu mrefu wakamchukulia kwa sababu ya ufupi nahisi msanii anaitwa amiri wimbo unaitwa huu ufupi nisaidieni tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapoMwenye wimbo wa taaribu wa
=Nasma Khamis_Mambo yapo huku