Shomary Byellah dunia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 209
- 62
Mkuu niliomba
1. Kimbia ya babuu
Naomba pia
2. Slave driver - Bob Marley
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mi ni almasi mchangani sema tu sijastukiwa.Mgodi unaotembea wajinga wanashindwa kuelewa." Mwenye hiyo nyimbo ya mwana fa jina silikumbuki.
Aliimba KilomanWaungwana mwenye wimbo unaimba hivi masela bomba mademu bomba ndani ya weekend DAR ES SLAAM BY NIGHT JOAN KAITIKIA WALICHANA MASELA FLANI HIVI ANISAIDIE
Ahsante sana.Daaaah umenikumbusha mbali sana my dear. Acha tu.
Pamoja sana!!!
Huo wimbo wa bibi kidude ulikuwa ukichezwa redio Tanzania sana saa Saba hongera mwanangee hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana.
Enzi za Cassette hizi