Ila wewe unatisha man.Daaaaaaah.
Mkuu, unajua kazi ambayo unaifanya hapa jukwaani sio ndogo hata kidogo kiongozi. Mie binafsi nathamini sana mchango wako.
Kwa sababu kuna nondo nyingine unaziweka hapa hata kwenye maktaba zangu huwa nazikosa mkuu. Kwa hiyo kazi unayoifanya hapa mie binafsi nai-appreciate kwa kiwango cha hali ya juu kabisa kiongozi wangu.
Much respekt bro.
👊🏽
Inaitwa safari njemaJay mo ,dudubaya na Complex- JINA NIMESAHAU
Complex anaanza hivi "Dudubaya nipe nafasi"
MIGUEL FT FID Q ANAFAA HQ AUDIO ACHA ILE YA WAPTRICK
VUMILIA FT NAY WAMITEGO UMENIPENDEA NN
Kali p wodi ya vichaa
Naomba ngoma izi wadau... Q jay "'SITORUDI"
wakilisha "KISWANGISH"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapaMwenye Mzee wa Busara Remix, ile ya Nature na Inspekta tafadhali.
Unaitwa "Wasi wasiWadau natafuta wimbo wa Banana zorro ila jina lake siujui lakini unaimbwa hivi"Nimeamini kweli wanipendaaa ila moyoni....."Yeah anaeujua jina anisaidie wakuu.
Unaitwa "Wasi wasi
Huu hapaWadau natafuta wimbo wa Banana zorro ila jina lake siujui lakini unaimbwa hivi"Nimeamini kweli wanipendaaa ila moyoni....."Yeah anaeujua jina anisaidie wakuu.
HiyoView attachment VID-20190325-WA0007.mp4Singeli inayosema kisimu changu cha laini mbili kinanisevu..