Wakuu naomba nyimbo za watu pori kipindi wako pamoja afande sele, koba na ditto... nyimbo kama kioo cha jamii, na nyingine skumbuki ata zinaitwaje ila inaanza "watupori a.k.a washamba nyani wapya msitu wa zamani"
Naomba nyimbo ya monica ya ndala kasheba kama sikosei... mama nipe nauli nikamfuate monica amekimbia zambia kwa treni ya mizigo eehh..
Mwisho kabisa naombeni wimbo wa harusi ya kichagga ambao umekua mordenised na biti jipya unaitwa otereeeeeee.. nimeutafuta sana sijaupata. Natanguliza shukrani wakuu