deo mwanambilimbi chona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
deo mwanambilimbi chona
Zilishawekwa humu rudi post za nyuma kidogo!Habari Mkuu naomba unisaidie kunipa nyimbo za sarafina zile za makaburini.
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ukiweka majina yake ni rahisi maana watu wanamkusanyiko wa nyimbo za suma Lee ili kujua ipi ilikuwa albamu ya Chungwa ni ngumu!Mi natafuta nyimbo zote album ya chungwa suma Lee nimetafuta album madukani jiji zima sijapata
Nini chanzo by Juma Nature
daah... ukiupata nitashukuru sana.. rton na mwasiti kama sikosei.
liisah mama.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki kama ndio wenyewe!
Wachuja nafaka -ya leo kali
Juma nature -ubinadamu kazi
Juma nature -ugali
Dully sykes -historia ya kweli
Mr ebbo -nisamehe
Juma nature -hali imekuwa ngumu KIOO Idimi
Sent using Jamii Forums mobile app
MalaikaMkuu KIOO Idimi binswedi naombeni nyimbo ya Gk "subakheri mpenzi"
Sent using Jamii Forums mobile app