huo aliimba Top C miaka hiyo...mwenyewe nimeutafuta bila mafanikioLuna wimbo mmoja sikumbuki kaimba nani ila unaimbwa hivi "nimekufananisha we Dada nimekufananisha we sista ndio mana nimekuita" hiyo ni baadhi ya maneno kwenye kiitikio biti lake linataka kufanana na la kwenye wimbo nilonge nisilonge wa h mbizo nisaidieni tafadhali mwenye nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mwenye Nyimbo ya Joslin-African Queen 'njoo basi kwa maana leo nanafasi...'
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba wimbo wa Bushoke-Maria na wa Sumalee-She Drive Me Crazy
Kuna ngoma ya banana inaitwa bado kidogo. Kama unayo naomba nisogezee mkuu
Kuna ngoma ya banana inaitwa bado kidogo. Kama unayo naomba nisogezee mkuu
KIOO Idimi binswedi nimeomba ngoma ya snoop Lee ft blue mic nadaka mnisaidie wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran jazeera