Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
huo aliimba Top C miaka hiyo...mwenyewe nimeutafuta bila mafanikioLuna wimbo mmoja sikumbuki kaimba nani ila unaimbwa hivi "nimekufananisha we Dada nimekufananisha we sista ndio mana nimekuita" hiyo ni baadhi ya maneno kwenye kiitikio biti lake linataka kufanana na la kwenye wimbo nilonge nisilonge wa h mbizo nisaidieni tafadhali mwenye nao
Sent using Jamii Forums mobile app