Habari wakuu.

ebana naomba wimbo flani hivi
kaimba NOORAH,RAY C na MWANA F.A
chorus kaimba RAY C ina sema,
KAZI RAHA VYOTE VINAENDA, PIGA KAZI UTAPATA RAHA.


gwankaja
idimi
kioo

natanguliza shukrani.
 
Mzee kuna nyimbo ya Nay wa Mitego, chorus inaimbwa " nilichopanga kufanya, ndicho mi ninachofanya,hakuna kupingwa bwana ndio maana mi nikajiita Maulana" tunaweza kupata hii!?
 
Shukran sana, ingawa nilikuwa nahtaji nyng zaidi.. Hasa za zay b na sister p..

Mwenye nazo ataniwasilishia hapa pamoja na za joslin wa wakali kwanza!
 
Bro KIOO kuna nyimbo nimekuomba za Izzo B pisha NIPITE na nakaba koo pls assist

Mkuu ntashusha zote usjali tatizo wiki 2 hizi sijatulia kabisa napita kwa juu juu sana hapa jukwaani.

Ila ntazishusha tu request zote sio, usjali mkuu.

Pamoja sana.
 
Wakuu vitu Adimu tuwekeeni.
Sorry naweka msisitizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…