Bro KIOO kuna nyimbo nimekuomba za Izzo B pisha NIPITE na nakaba koo pls assist
Wakuu vitu Adimu tuwekeeni.
Sorry naweka msisitizo
Wakuu naomba wimbo wa noorah unaitwa baba styles
NAOMBA WIMBO WA Q CHIEF FT DATAZ UNAIMBA; WALIOKUDANGANYA SASA WAKO WAPI?
GWM mama mwenye nyumba,,.
Write your reply...mwenye ngoma ya mike t _ acha kulia na Siri kali _ Mike t
Kioo na wengine Naomba nyimbo ;
1. Muache aendezake by Suma Lee
2. Mademu wa leo by Suma G ft Suma Lee
3. Vituko uswahilini by Suma G.
Mimi ninao ila ule wa you tube labda nikutumie kwenye whatsappMwenye wimbo wa mask girl sina hali anipatie
Naomba song La TID linaitwa TuwalindeNaomba wimbo wa cyclino ft doch - sema
KIOO
Bro KIOO kuna nyimbo nimekuomba za Izzo B pisha NIPITE na nakaba koo pls assist
Thanks a lot kakaPisha nipite nadhani umeshaupata mkuu.
Nakaba koo...!
Shukran sana, ingawa nilikuwa nahtaji nyng zaidi.. Hasa za zay b na sister p..
Mwenye nazo ataniwasilishia hapa pamoja na za joslin wa wakali kwanza!