Wajuba naulizia nyimbo zifuatazo
1. Helena toka kwa kundi moja mkoani Morogoro likiitwa PEAPEA entertainment
2. Vitu adimu yake Madmax
3. Nakutamani yake mwanaApolo video queen alikuwa Mainda yule msanii wa bongo movie zamani
4. Machozi iliyompa jina Hussein machozi alirekodia tetemesha wakati huo yuko Kagera
5. Kapu la mjanja sikumbuki band ila humo ndani yupo Eddie Sheggy.
6. Akili za pombe muimbaji simkumbuki ila chorus alipiga Mr. Ebbo
7. nyimbo zote za Taarab alizoimba mwana mama mwanahela na coast modern taarab.
8. Maridadi sana huu wimbo uliimbwa na kanjibai mmoja kama song hivi.
9. Mkuraba mkuraba unamashauri gani ya matona.
10. Nyimbo za Tongolanga kwa mwenye nazo pia.