Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Madee-Nimvishe nani peteUs' waze aisee ntakutupia hapo bado kabisa blood.
Us' waze aisee ntakutupia hapo bado kabisa blood.
Ni wa kiingereza!?Jaman please naomba mnisaidie kuna nyimbo nnaipendaga sana lakin simjui msanii wala jina la nyimbo kwahyo nnashindwa kuupata youtube.
Ila nnaujua baadhi ya vionjo vyake.
"... Oe oe oeoo, oe oe oaa..." ×2
Anaimba hivyo ni saut ya kike.
Anaeujua please[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Master naomba wimbo wa TID-Monalisa mpenziHakikisha jina la wimbo mkuu.
Write your reply...asanteni sana wakuu ila bado
1: haturap fa ft kwanza unit
2: acha kulia _ Mike t
3: Homa ya jiji _ mack d ft inspector, balozi & imam abas
4: saa mbaya gk ft o_ten
Write your reply...asanteni sana wakuu ila bado
1: haturap fa ft kwanza unit
2: acha kulia _ Mike t
3: Homa ya jiji _ mack d ft inspector, balozi & imam abas
4: saa mbaya gk ft o_ten
[emoji23][emoji23][emoji23]yani mpaka memory yangu ijae ,yani huu uzi utajaza memory yangu napenda sana music
Mkuu vp khs zile fela kuti na bang bang pls kakaSure bro. Music is life mkuu...!