Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Thanx mkuu,yani Leo nimeenjoy sana nyimbo za huyu jamaa nilikua sijamsikiliza muda mrefu jamaa anachana mbayaaa yani real hip hop
Stay blessed mkuu KIOO tupia zingine
 
Jaman please naomba mnisaidie kuna nyimbo nnaipendaga sana lakin simjui msanii wala jina la nyimbo kwahyo nnashindwa kuupata youtube.

Ila nnaujua baadhi ya vionjo vyake.
"... Oe oe oeoo, oe oe oaa..." ×2
Anaimba hivyo ni saut ya kike.
Anaeujua please[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wa kiingereza!?
 
Write your reply...asanteni sana wakuu ila bado
1: haturap fa ft kwanza unit
2: acha kulia _ Mike t
3: Homa ya jiji _ mack d ft inspector, balozi & imam abas
4: saa mbaya gk ft o_ten
 
Homa ya Jiji tumekamilika magwiji, tunakamata kijiji, mbishi tunamfunga mkwiji...

Sio mchezo hilo track jamaa waliandika sana mule!!
Write your reply...asanteni sana wakuu ila bado
1: haturap fa ft kwanza unit
2: acha kulia _ Mike t
3: Homa ya jiji _ mack d ft inspector, balozi & imam abas
4: saa mbaya gk ft o_ten
 
Write your reply...asanteni sana wakuu ila bado
1: haturap fa ft kwanza unit
2: acha kulia _ Mike t
3: Homa ya jiji _ mack d ft inspector, balozi & imam abas
4: saa mbaya gk ft o_ten
 

Attachments


Aisee na mie leo naomba niombe wakuu.

Naomba ngoma 2 ya Chivalo_Unanikumbusha na ngoma ya kwanza ya Witness Wa Wakilisha kipindi anajiita Bad_Gear.

Natanguliza shukran. Thanks.
 
Back
Top Bottom