Homa ya Jiji tumekamilika magwiji, tunakamata kijiji, mbishi tunamfunga mkwiji...

Sio mchezo hilo track jamaa waliandika sana mule!!
Basi saidia wimbo wa KU wa Utaona,
Chorus kiswahili,
Verses Kingereza
 
Africa- SALIF KEITA
Naomba original version pamoja na ile aliyoimba na lady jay dee kwny coke studio
 
AFRICA ya SALIF KEITA.
Naomba original versio na ile aliyoiimba na lady jay dee coke kwenye coke studio
 
Nimekumbuka ngoma hzi

Tozy wa mbagala

770 mia saba sabini

KIOO na wengine mtakuwa nazo

Naziomba tafadhari!
 
Mkuu Kioo na wengineo,kuna audio moja naitafuta niliisikia mda kidogo kuna jamaa ana lafudhi ya kiha anampigia cm demu anakua anamtongoza,lkn demu hataki basi baada ya hapo ni vituko,naomba msaada mwenye hiyo audio
Samahan kama nimetoka nje ya mada
 
Natafuta Nyimbo ya kwaya, Mara nyingi inapigwa kipindi cha maombolezo misiba.

"Maombolezo, maombolezo ya kilio.
Shetani atalia, maombolezo".

Kwa anaeifahamu au anayo kabisa naomba msaada.
 
Wa kubwa video nyingi za YouTube flame yake marefu zimekatwa au ukiwa una play via flat screen muonekano wake unaona naomba kujua jinsi ya kukuza huo urefu ili video iplay full muonekano
 
Wakuu nautafuta huu wimbo uliopo kwenye hii clip
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-05-07-23-03-08-1.jpeg
    48.2 KB · Views: 93
Wadau, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale
Samahani kama kuna mwenye nyimbo za Hayati Senzo zozote naomba anitumie maana nilikuwa na albamu zake mbili za tape ila zilipotea
kuna nyimbo kama
_Rasta wake up
_Irene na nyinginezo

Natanguliza Shukrani nyingi kwenu wanajukwaa.
 
Leo tupate Album ya Masadali zigzag-BONGO MSOTO
 

Attachments

Kuna wimbo fulani wa Dini Unaimbwa

"kuna watu wengine wapitapo majaribuni"
Wanasahau Kwamba mungu yuko" kaimba mwanamke sijui ni nani na wimbo siujui kwa jina
 
Wapendwa..kuna nyimbo za reggae za kundi furani lilitwa The Gladiator kutoka Jamaica na Ghana.album hiyo iliimba nyimbo nzuri sana na ilienda kwa jina la Remember Bob Marley.kama kuna mwenye hizo nyimbo tafadhari anisaidie
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
 
Natafuta wimbo unaitwa Dina wa Orchestre Veve ya enzi za Zaire ya wakati huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…