Aiseee.. Nimetiririka na Uzi ila siuoni kabisa. Unaweza ukanitumia tena mkuu?? Utakuwa umenisaidia sana
Cheki comment hapo juu,nimei quote post aliotuma huo wimbo,ikishindikana ntakuwekea kesho,sasa hv nipo sehem mtandao wa shida kidogo
 
Kimalumalu na ikibinda nkoi- Diamond sound jamani...!!
 
Msaada nautafuta wimbo wa jamaa alikuaga karibu sana na daz nundaz anaitwa Pablo kawashirikisha man dojo Na domokaya jina la wimbo silikumbuki
 
Kuna wimbo mmoja wa dance uliimbwa na bendi moja,unatumika sana jkt,ulikuwa na maneno haya,"wewe Dada maria,Mimi ninakuambia ,siku nikikuona,kuna waka moto"
 
Dah! asante mkuu
Naomba na huo wa nikki mbishi aloutumia beat p the mc
Your browser is not able to display this video.
 
Kaka nashukuru Sana..Kama una ule unaitwa Mbele kwa mbele pia nauhitaji.
 

Attachments

 

Attachments

Natafuta sana wimbo unaitwa Tabasamu wa DJ bush Baby.

Zawadi itatolewa kwa atakaeupost hapa.

Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…