Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Aiseee.. Nimetiririka na Uzi ila siuoni kabisa. Unaweza ukanitumia tena mkuu?? Utakuwa umenisaidia sana
Cheki comment hapo juu,nimei quote post aliotuma huo wimbo,ikishindikana ntakuwekea kesho,sasa hv nipo sehem mtandao wa shida kidogo
 
Msaada nautafuta wimbo wa jamaa alikuaga karibu sana na daz nundaz anaitwa Pablo kawashirikisha man dojo Na domokaya jina la wimbo silikumbuki
 
Kuna wimbo mmoja wa dance uliimbwa na bendi moja,unatumika sana jkt,ulikuwa na maneno haya,"wewe Dada maria,Mimi ninakuambia ,siku nikikuona,kuna waka moto"
 
Dah! asante mkuu
Naomba na huo wa nikki mbishi aloutumia beat p the mc
 
Kaka nashukuru Sana..Kama una ule unaitwa Mbele kwa mbele pia nauhitaji.
 

Attachments

Album au wimbo wowote wa "ZE KILA KITU" Hawa walikua wanabadirisha nyimbo za mbele wanaimba Kwa kiswahili kama Vile Careless Whisper.a

Mack D.. kifo cha Nyani.. UMASIKINI NI BALAA

JO MAKINI FT RAMA DEE - SINA MUDA/SINA TIME (sina time ya kuwa nawe, bora niishi mwenyeweeeh, mwenyeweeeh.)

DOGO HAMIDU - WANYAMWEZI FAMILY FOREVER

NIKIZIPATA - CHALII FLANI HIVI WA SHY TOWN ( nikizipata, aah masela wote watadata, nikizipata hata madem walionitosa watataka wawe wangu)

Mbio za ukingoni sasa sakafuni - temba, daz baba...

Hali halisi - kb ft sumalee
AY FT FID Q - SINA MUDA
 

Attachments

Back
Top Bottom