Cbm crew - my girlfriend
 
Wimbo wa Yule jamaa aliimba kichga.. 'Ninamnagani tutaishi duniani mpaka siku tusema buriani@ Masawe alikuepo, manka, na yule Chuwa.. eti chuwa nae alikuepoooo
Umewekwa angalia vizuri
 
Nisaidie wimbo wa abdul misambano na raila khatibu ....niwe naweeee hadi milele ....nasema ukweliiii mpenzi ujueee ninavyo kughaaani............
Natafuta wimbo wa nimeshindwa kuvumilia wa Pauline Zongo
 
Huwez kuweka post 70000 nitapataje kamaipo ya 4555
 
DALLYS-BONGE LA HIPSI

Wakuu nisaidieni hiyo nyimbo tafadhali mwenye nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…