Tripp
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 898
- 1,545
Cbm crew - my girlfriendWakuu kuna nyimbo naitafuta lakini sijui inaitwaje wala nani aliyeimba inaimbwa hivi mamy usife moyo na yangu hali rizika na machache yaliyotayari kulimic penz lako sipo tayari umasikini na utajiri yote hali
Nimeitafuta sana nyimbo hii ya miaka ya 2010