Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu kuna nyimbo naitafuta lakini sijui inaitwaje wala nani aliyeimba inaimbwa hivi mamy usife moyo na yangu hali rizika na machache yaliyotayari kulimic penz lako sipo tayari umasikini na utajiri yote hali
Nimeitafuta sana nyimbo hii ya miaka ya 2010
Cbm crew - my girlfriend
 
Wimbo wa Yule jamaa aliimba kichga.. 'Ninamnagani tutaishi duniani mpaka siku tusema buriani@ Masawe alikuepo, manka, na yule Chuwa.. eti chuwa nae alikuepoooo
Umewekwa angalia vizuri
 
DALLYS-BONGE LA HIPSI

Wakuu nisaidieni hiyo nyimbo tafadhali mwenye nao
 
Back
Top Bottom