Tafuta youtube msanii anaitwa mafumu bilal 'bombenga' ndie alieimba wimbo huu mkuu!
 
Tafuta youtube msanii anaitwa mafumu bilal 'bombenga' ndie alieimba wimbo huu mkuu!
Wenyewe youtube haupatikani, Mafumo yupo na nyimbo zingene ila huu haujawekwa, Bali Maya zilizoimbwa kilingala tu.
 
Kuna wimbo katika album ya ''Machozi'' ya lady jay dee kuna sehemu jamaa anampigia simu jay dee unaitwaje!? Please.
 
Natafuta nyimbo ya (sikinde - kila jumamos/ Wikendi )naitafta huu mwaka wa nane
 
Mimi nina nyimbo(zilipendwa) naitafuta miaka mingi sana siikumbuki jina wala nani kaimba ila nakumbuka maneno yake anayeifahamu naomba anisaidie.naitafuta sana na huwa inapigwa kwenye miziki ya bendi

"kisa hiki jamani cha kusikitisha aahhhh,walinieleza majirani walionilea ohhh" ×2

Hawa majirani walionilea nitawalipa nini eh"
 
Mwenye nyimbo za fundi konde zile za zamani kabla ya kufanyiwa marudio akiwa na mushroom band aziweke hapa
 
Natafta wimbo wa Richard (mdogo wa Tundaman) ~ Mariose aliimba na udeude
 
Kuna mmoja wa kitambo sana sijui ameimba nani!
Ila baadhi ya maneno yanasema
Madaka ya jikoni, mwachie yeye Shemeji
kazi ya kuingilia......
 
Mwenye wimbo wa TNG squad_ like that anisaidie wakuu
 
Chief Rumanyika.
 
Hbr aisee wakuu natafuta snaa nyimbo ya unique sisters zaidi yko na nyingine ya kicongo inaimbwa maya maya maya mayengo km sijakosea nitashkru km nitazipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…