Mkuu inaplay kidogo sanaa..
Kioo naomba kibao cha i will be there cha senzo na Ngoma zote za brenda fassie
Mimi nakumbuka tu kipande flank kinachosema ........"Anavyotembea kama nguva ndani ya bahari msichana mrembo utadhani malaika..........anayeifahamu tafadhali
Unamaanisha nini unaposema ina-play kidogo sana aisee...?
Unamaanisha ina-play kwa muda kidogo au ina-play kwa sauti kidogo mkuu...?
Mbona mie naiskiliza mpaka inafika mwisho aisee.
View attachment 1140480
Aisee unahitaji tuzo ya heshima mkuu.. Yan kwa vimaneno hivyo umeweza baini nyimbo.. Hongeraa
Ina-play kwa sec kazaa kisha inakataa.. Km hutojal nkutumie namba unitumie wasap mkuu.. Samahan lakn
Usjali bila ya samahani nakuwekea version nyingine soon tu bro. Thanks buddy.
Usjali bila ya samahani nakuwekea version nyingine soon tu bro. Thanks buddy.
Mkuu sijui nimekukosea nini ndughyangu yaani nyimbo zoote nilizo kuomba hujanitumia hata moja yaani,wenzangu wanakuja nyuma unawatumia kulikoni??niliomba nyimbo za sqeeza na langa naona kimya tu.
Za kwangu hujanitumia mkuu, au hazipo?
Bado zinafanyiwa kazi mkuu. Ahsante.