FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
ukiwa online nistue nikutumie. Mack Dee ft Balozi - Umasikini Ni BalaaWazee kina kimoja kinaitwa; KIFO CHA NYANI cha Mac Dizzo hii kitu nishaitafuta sn bila mafanikio, anayeweza kuipata anidondoshee ikiwezekana PM itakuwa poa sn aisee__!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumbuki vizuri maana nadhan toka 2003 sijausikia tena huu wimboDah hiyo ya kwanza umenikumbusha mbaliiii..hiv ni ray c peke yake? Kama kuna wadada wengine hv
Nitajaribu kukutafutia mkuu. Nitakupa mrejesho soon.
Telegram Bongo Old Group Link
OLD BONGO FLEVA[emoji441][emoji442][emoji443][emoji343]
Group la Whatsapp nalo link ipo humu humuView attachment 1413465
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ana namba ya admin wa hili group humu?Telegram Bongo Old Group Link
OLD BONGO FLEVA[emoji441][emoji442][emoji443][emoji343]
Group la Whatsapp nalo link ipo humu humuView attachment 1413465
Sent using Jamii Forums mobile app
UmezinguaNenda hapa ipo www.rubega.com
Umeiona nenda rubega ukiandika bado itakuja hapo pakuaUmezingua
Umeweka Gado remix ft JumaNature
Mi nimeiulizia Gado original ft InspectorHaroun
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekulewa sana kaka,Umeiona nenda rubega ukiandika bado itakuja hapo pakua
Nakumbuka hii ngoma ya NE MO, 3 bila ya TMK na ya usijali ya RAMA D zilizua maswali sana.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
PoaMkuu nimekulewa sana kaka,
Japo verse ya Inspector haipo
Nimeikuta na KULA KONA ya ManzeseCrew, wimbo nlokuwa nautafuta muda mrefu pia.
Pamoja sana
Sent using Jamii Forums mobile app