Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna ngoja ya Stereo Chundabady baadhi ya mistari inasema hivi.. 'Maadui awaponi mbele ya komando kipensi. Nawaza paka mtoni ubongo wangu hauna fensi/

'What the differenc. Kat ya wakali and nice..
Wanareference ukweli uko mbali they lie/

Hauzimiki mziki so km Eagle fly......
 
Telegram Bongo Old Group Link

OLD BONGO FLEVA🎤🎧🎼📻

Group la Whatsapp nalo link ipo humu humu
Screenshot_2020-04-09-08-14-40.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUhipo sakua vizuri mwanaOTE="SUKAH, post: 34921527, member: 138483"]
Umezingua

Umeweka Gado remix ft JumaNature

Mi nimeiulizia Gado original ft InspectorHaroun

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
kuna wimbo flani hv una haya maneno..ni wa dini

Bwana mulika mulika njia zangu
Mwanga wako bwana,niangazie

anaeujua huo wimbo anisaidie..nimejaribu kuandika hayo maneno youtube naona chenga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani na mimi naomba kusaidiwa jina la wimbo pamoja na mwimbaji au kundi walioimba wimbo usemao " NIMEMUACHA MUME WANGU EEE NIMEKWENDA KWA REHANI,BAADA YA MUDA REHANI KANITIMUA ETI SINA TABIA NZURI OOOO" naupenda huo wimbo ni wa muziki wa dansi wa enzi hizo.mwenye nao msaada tafadhali napenda sana rhythm yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom